Wanatoka 1-1 gola la yumbani linatubebaSimba 2-Wydad 1...
Ndivyo ilivyoHakika Simba anafuzu kwa tofauti ya goli moja.. Ngumu kuamini Ila ishapangwa hivyo
Huu ni mwaka wa Tanzania ,MUNGU amesikia kilio chetu kuna kombe moja linakuja tanzaniaKila la kheri Simba
Sawa sawaimepita iyo kudadadeki💪
Labda washinde na PascaliHabari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Bro hapa umelenga nini?
Upo Nangulukulu ila unaahidi kufia uwanjani Morocco!Leo tutafia uwanjan mkuu nusu fainal tuione[emoji41]
Pia napend kutoa pongez kwak mkuu maan umeonesh uzalendo sio kam wala mihogo wengne.
#nguvu moja.
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha.
Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
NipoVipi mleta mada bado yupo [emoji81][emoji81][emoji81] au tumsakanyue huko alipo
Nipo