Simba leo atake anapigwa, asitake anapigwa. Hamna namna

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.

Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.

ATAKE ATAPIGWA, ASITAKE ATAPIGWA. HAMNA NAMNA. YAANI HAWEZI KWEPA KIPIGO KWA NAMNA YOYOTE ILE. IWE MVUA IWE JUA, IWE MWANGA IWE GIZA. AFE KIPA AFE BEKI. WATAPIGWA.
 
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.

Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Halafu utafaidika nini Sasa? Au ndio maana tunatekana?
 
Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu
Hata Red Star ya Kaliua Tabora ni team nzuri ukilinganisha na team za daraja lake...

Simba vs Al ahly tripoli ni mlima na kichuguu...

Simba anashinda leo...
 
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.

Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Waache wapigwe tu hakuna namna ubaya ubwela 😂😂😂
 
Bro usinipe ngumu ngumu.
 
Attachments

  • download-1.jpeg
    download-1.jpeg
    8.3 KB · Views: 3
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.

Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Kama michezo imewashinda mnawza mkajiunga UVCCM kwenda kusifia viongozi. Mwanamichezo halisi ni yule anayeisaidia timu yake ishinde au anayeisaidia timu yake iwezevkujimudu na kujiendesha, lakini siyo anayeshinda kuibua mijadala ya aina hii
 
Sasa wewe umeona hapo nina team yangu? WEWE BWABWAH KWELI. UMESEMA MWENYEWE MWANAMICHEZO HALISI NI YULE ANAYESAIDIA TIMU HAKE IWEZE.... SASA HAPO SINA TEAM YANGU UNATAKA NIYASAIDIE MAKALIO YAKO?
 
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.

Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Al ahly ipi wewe unayoijua leo inacheza na simba.
Inawezekana unachodhani siyo.
UBAYA UBWELA
 
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.

Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Simba wakipigwa na hao Namungo wa Libya watakuwa wametuaibisha sana, ni timu ambayo imesajili lakini aina yao wanavyocheza wakiwatoa Simba itakuwa ni aibu kubwa, pamoja na kwamba Simba kwa sasa wanatembelea upepo wa mafanikio ya miaka 5 iliyopita na wamebaki jina tu lakini uwezi kuwalinganisha na hao walibya!
Wakapambane waupate angalau sare maana inawezekana kwa kiwango chao cha sasa na aina ya timu waliyonayo bado wana mapungufu kibao ikiwemo uzoefu wa vijana wao kwenye mechi kubwa za kimataifa!
 
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.

Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Ungeahidi kutoa tIGO iwapo Simba ataambulia walau point moja
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom