Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Halafu utafaidika nini Sasa? Au ndio maana tunatekana?Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.
Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Hata Red Star ya Kaliua Tabora ni team nzuri ukilinganisha na team za daraja lake...Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu
Waache wapigwe tu hakuna namna ubaya ubwela 😂😂😂Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.
Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Kama michezo imewashinda mnawza mkajiunga UVCCM kwenda kusifia viongozi. Mwanamichezo halisi ni yule anayeisaidia timu yake ishinde au anayeisaidia timu yake iwezevkujimudu na kujiendesha, lakini siyo anayeshinda kuibua mijadala ya aina hiiHali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.
Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Mbona haueleweki? Hebu soma andiko lako, mstari wa kwanza. Tushike lipi?Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa.
Na unalitafuta taifa to date, si viongozi moaka wananchi wa chini"Hakuna Umasikini Mbaya kama Umasikini Wa Fikra".
JuLIUS KAMBARAGE NYERERE.
Ana mikeka miwili, mmoja kampa Simba ashinde au atoe sare halafu mkeka mwingine kampa Al Ahli Tripoli ushindi wa moja kwa mojaMbona haueleweki? Hebu soma andiko lako, mstari wa kwanza. Tushike lipi?
"Hakuna Umasikini Mbaya kama Umasikini Wa Fikra".
JuLIUS KAMBARAGE NYERERE.
Huyo jamaa anashida pahala aiseeKama huna kifua cha kushabikia team za mpira kashabikie Taarabu
Kama michezo imewashinda mnawza mkajiunga UVCCM kwenda kusifia viongozi. Mwanamichezo halisi ni yule anayeisaidia timu yake ishinde au anayeisaidia timu yake iwezevkujimudu na kujiendesha, lakini siyo anayeshinda kuibua mijadala ya aina hii
SHIKA UBOHO WANGU.Mbona haueleweki? Hebu soma andiko lako, mstari wa kwanza. Tushike lipi?
NDO LILE KONTENA LA MABWABWAH LILOLOSHUSHWA TZHuyo jamaa anashida pahala aisee
Al ahly ipi wewe unayoijua leo inacheza na simba.Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.
Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Simba wakipigwa na hao Namungo wa Libya watakuwa wametuaibisha sana, ni timu ambayo imesajili lakini aina yao wanavyocheza wakiwatoa Simba itakuwa ni aibu kubwa, pamoja na kwamba Simba kwa sasa wanatembelea upepo wa mafanikio ya miaka 5 iliyopita na wamebaki jina tu lakini uwezi kuwalinganisha na hao walibya!Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.
Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.
Ungeahidi kutoa tIGO iwapo Simba ataambulia walau point mojaHali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.
Al Ahly ni team nzuri sana si team ya mchezo mchezo. Nadhani wengi mnaifahamu au kuisikia sikia. Wale ni Maarabu yameshachinja Ngamia. Tayari kila kitu.