Yani Tz kuendelea kisoka bado sanaaaaNyota wa mchezo
Bado tu unaangalia mechi?Mbeleko Fc
Labda Simba tuombe mechi na Singida United ya daraja la piliSimba tangu Mechi na Plateau walisha potea kwasasa wanakwenda na upepo Ila timu imesha kata moto kilicho aki ni kuhonga marefa Ila haitawasaidia kwakua timu imesha choka itafika sehemu ata Marefa watashindwa.
Bwege ww. Penat ya yanga kwa simba kimyaa penati ya yanga kwa kmc pia kimyaa Leo mishipa ya matako imekusimama. PooleSimba tangu Mechi na Plateau walisha potea kwasasa wanakwenda na upepo Ila timu imesha kata moto kilicho aki ni kuhonga marefa Ila haitawasaidia kwakua timu imesha choka itafika sehemu ata Marefa watashindwa.
Kwa penat ya simba. Ile ya yanga kwa simba. Na ile ya yanga kwa kmcYani Tz kuendelea kisoka bado sanaaaa
Moja bila.Tupen update
Ile ya yanga kwa simba na ya yanga kwa kmc ulikuwa kimyaa kichaa wwIle penalty ata wachezaji wa Simba wamesha ngaa walivyo ipata.
Kama ninyi mlivyoishiwa mpira tangu kwenye ile mechi na Simba.Ndio mlichobakiwa nacho saizi Kubebwa na matusi..maana mpira mmeshaishiwa.