Simba leo atapoteza mchezo wake dhidi ya KMC

Simba leo atapoteza mchezo wake dhidi ya KMC

Simba tangu Mechi na Plateau walisha potea kwasasa wanakwenda na upepo Ila timu imesha kata moto kilicho baki ni kuhonga marefa Ila haitawasaidia kwakua timu imesha choka itafika sehemu ata Marefa watashindwa.
 
Nyota wa mchezo
IMG-20201216-WA0107.jpg
 
Simba tangu Mechi na Plateau walisha potea kwasasa wanakwenda na upepo Ila timu imesha kata moto kilicho aki ni kuhonga marefa Ila haitawasaidia kwakua timu imesha choka itafika sehemu ata Marefa watashindwa.
Labda Simba tuombe mechi na Singida United ya daraja la pili
 
Simba tangu Mechi na Plateau walisha potea kwasasa wanakwenda na upepo Ila timu imesha kata moto kilicho aki ni kuhonga marefa Ila haitawasaidia kwakua timu imesha choka itafika sehemu ata Marefa watashindwa.
Bwege ww. Penat ya yanga kwa simba kimyaa penati ya yanga kwa kmc pia kimyaa Leo mishipa ya matako imekusimama. Poole
 
Pamoja na dau mlilowatangazia KMC imekuwa bahati mbaya kwenu.

Nyani wanateseka kweli.
Ndio maana ule msemo wa nyani haoni ...ulifanya kocha wenu akawapa jina hilo
 
Back
Top Bottom