NUNUA KWETU
Member
- Oct 11, 2018
- 25
- 37
Kufa dadadeq zkoMchezaji kacheza mpira na kifua refa kawapa penati Simba...ujinga mtupu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa dadadeq zkoMchezaji kacheza mpira na kifua refa kawapa penati Simba...ujinga mtupu...
Ni hayo hakuna mengi mechi itaisha Simba 1 - 2 KMC.
Wakumbushe penati yao waliyopewa kirumba na kmcNi kama ile mliyo zawadiwa kwenye mechi ya Simba na Yanga juzi kati hapa au hii ni tofauti?
Pole! Mwenye nyumba anakuja, wapangaji tafuteni viwanja mkajenge nyumba zenu. Povu naliona kama vileSimba hakuna timu pale,ni kikundi cha Baikoko na wakata viuno
Ndio mlichobakiwa nacho saizi Kubebwa na matusi..maana mpira mmeshaishiwa.Yaan we mkund unajisahaulisha eenh. Mechi ya yanga vs simba yanga mlipata goli gan bwege sn
Yule kocha wenu aliyewaita nyan alishasema mashabiki wa yanga hamjui football kaz kubwekabweka tu. Km mi mbwa. Simba vs yanga mlipata penat ila kwa u mbwa wenu unajisahaulishaNaona mikia wamekula mbeleko
Yule kocha wenu aliyewaita nyan alishasema mashabiki wa yanga hamjui football kaz kubwekabweka tu. Km mi mbwa. Simba vs yanga mlipata penat ila kwa u mbwa wenu unajisahaulisha
Kisa penat kwa simba? Ktk mechi ya simba vs Yanga ile penat yenu hamkusema kitu. Mijibwa nyie kaz kubwekabweka tu. Alishasemaga yule Kocha wenuMarefa wa bongo sijui wanatumia sheria gani za soccer
Utopolo imewauma wakanywe maji wakalale
Pole! Mwenye nyumba anakuja, wapangaji tafuteni viwanja mkajenge nyumba zenu. Povu naliona kama vile
Huu Uzi naona unaenda kutimia
Nguvu Mmoja.
Yaan we kilaza. Hilo jina LA wamatopeni km hujui ni la timu gani BASI ni la yanga. Timu isiyoshirik mashindano ya kimataifa PIA pale klabuni kwao JANGWAN mda woote ni tope tu. Ndio mana huitwa pia VYURA fc
Marefa wetu bado ni tatizo Sana.
Ile penati yenu ktk mechi ya simba vs yanga mbona mlishangilia wajinga km ww mpo weng humuNdio mlichobakiwa nacho saizi Kubebwa na matusi..maana mpira mmeshaishiwa.