Simba leo Ikimfunga TP Mazembe Naponda ponda Mapumbu yangu kwa Nyundo

Simba leo Ikimfunga TP Mazembe Naponda ponda Mapumbu yangu kwa Nyundo

Mmmh
Vibaya hivyo ujue babaa! Ndo ukaamua kuninyima keki jamaniii...

Happy birthday babaa! Najua nimechelewa ila nakuombea kheri na mafanikio tele jamani!
Asante sana; sikufanya maksud hata ivo, mwezi wa sita ntakuwa na makazi ya kudumu uko unapopataka mama, napatikana Mara kwa Mara.
 
wa
Ahadi yangu ipo pale pale kama nlivyotoa week iliyopita. Ikiwa simba leo itashinda nitaponda ponda Mapumbu yangu kwa nyundo mpaka yawe uji uji halafu niyakojoe.
tu kama hawa wanatakiwa wapimwe mkojo na marind
 
[emoji847][emoji847]vp ile ahadi??
hahaha we mchokozi sana;;
Sio kwa kusemeana uko
We ni kicheche!
ewaaaa ayo ndo maneno sasa, kunywa na Pepsi kwa mangi apo.
haha we nimah wewe, ebu kuwa na huruma usije ukanivinjia mji mimi. unataka kaka ako niwe mjane jamani
Na mm nakuja kula pasaka na wifi angu [emoji847]
Mkimaliza mniambie...
Sanchez magoli unajua mie mtu mzima eeh!
 
Aiseeee! Watu mnajiweza.

Mie na ushabiki wangu wote sijawahi fikia hapo zaidi ya kupinga kidole cha mwisho na wale rafiki zangu pale home. 😅😅😅
 
Back
Top Bottom