Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
punguza wivu sakayo wangu; upo peke yako aki tenaMkimaliza mniambie...
Sanchez magoli unajua mie mtu mzima eeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
punguza wivu sakayo wangu; upo peke yako aki tenaMkimaliza mniambie...
Sanchez magoli unajua mie mtu mzima eeh!
Sio pouwa mtani, bakuli lenu limefikia wapi mtani limeshaja jaaAiseeee! Watu mnajiweza.
Mie na ushabiki wangu wote sijawahi fikia hapo zaidi ya kupinga kidole cha mwisho na wale rafiki zangu pale home. 😅😅😅
Mie sikuamini tenaaaapunguza wivu sakayo wangu; upo peke yako aki tena
Hivi shemela upo?Yaani Mikia leo wanakaa hao.
Hahaaaa. Liko njiani kujaa Mtani.Sio pouwa mtani, bakuli lenu limefikia wapi mtani limeshaja jaa
Mbona wataka nipa presha, na uku kijijini hospitali zipo mbali,Mie sikuamini tenaaaa
Itabidi tuombe mechi ya kuipongeza taifa stars mapato mchukue nyinyi yote kujaziliziaHahaaaa. Liko njiani kujaa Mtani.
Hahaaaa. LolItabidi tuombe mechi ya kuipongeza taifa stars mapato mchukue nyinyi yote kujazilizia
Pole mno jamanii!Mbona wataka nipa presha, na uku kijijini hospitali zipo mbali,
usinifanyie ivo ntakufwa mwenzio, aki matani na masihara naacha Mimi kuanzia leoPole mno jamanii!
Mie naona nikuache na huyo mbebez
Huwezi kukufwa, she loves you!usinifanyie ivo ntakufwa mwenzio, aki matani na masihara naacha Mimi kuanzia leo
Uliahidigi hutakuja ninyongonyesha hata siku mmoja mama; usinifanyie ivo, mimi loves you sana amin nakuambiaHuwezi kukufwa, she loves you!
We endelea kutaniana nae tuu jamani
Basi jamani, yaishe babaa! Tugange yajayo !Uliahidigi hutakuja ninyongonyesha hata siku mmoja mama; usinifanyie ivo, mimi loves you sana amin nakuambia
aya mama; nashukuru kwa kuwa muelewa.Basi jamani, yaishe babaa! Tugange yajayo !
Asante pia kwa kuwa muaminifu babaa!aya mama; nashukuru kwa kuwa muelewa.
Asante pia kwa kuwa muaminifu babaa!
Nipo shemela, mji umetulia tunamgonja mzee wa manunuzi afanye yake. Sisi tunatazama.Hivi shemela upo?
Umeona Shemela. Ndio kilichobakia kwao maana bila hivyo hawana pakushikilia mwakani.Nipo shemeka, mji umetulia tunamgonja mzee wa manunuzi afanye yake. Sisi tunatazama.