Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Asante sana; sikufanya maksud hata ivo, mwezi wa sita ntakuwa na makazi ya kudumu uko unapopataka mama, napatikana Mara kwa Mara.Mmmh
Vibaya hivyo ujue babaa! Ndo ukaamua kuninyima keki jamaniii...
Happy birthday babaa! Najua nimechelewa ila nakuombea kheri na mafanikio tele jamani!
SawaAsante sana; sikufanya maksud hata ivo, mwezi wa sita ntakuwa na makazi ya kudumu uko unapopataka mama, napatikana Mara kwa Mara.
Nasemaje mazembe ikishinda nagawa number kwa wanajamii wote
This is Simbaaaaaa!!..
tu kama hawa wanatakiwa wapimwe mkojo na marindAhadi yangu ipo pale pale kama nlivyotoa week iliyopita. Ikiwa simba leo itashinda nitaponda ponda Mapumbu yangu kwa nyundo mpaka yawe uji uji halafu niyakojoe.
Piga 4-1Number tafadhali.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Uko peke yako kuwa na amani mama. i miss you sana,
hahaha we mchokozi sana;;π€π€vp ile ahadi??
hahaha we mchokozi sana;;
Sio kwa kusemeana ukoππ mulika mwizi!
ππ
Aya chamadeko wa mie: pasaka nakuja tule soteSawa
Sio kwa kusemeana uko
Aya chamadeko wa mie: pasaka nakuja tule sote
haha we nimah wewe, ebu kuwa na huruma usije ukanivinjia mji mimi. unataka kaka ako niwe mjane jamaniWe ni kicheche!
ewaaaa ayo ndo maneno sasa, kunywa na Pepsi kwa mangi apo.Na mm nakuja kula pasaka na wifi angu π€
[emoji847][emoji847]vp ile ahadi??
hahaha we mchokozi sana;;
Sio kwa kusemeana uko
We ni kicheche!
ewaaaa ayo ndo maneno sasa, kunywa na Pepsi kwa mangi apo.
haha we nimah wewe, ebu kuwa na huruma usije ukanivinjia mji mimi. unataka kaka ako niwe mjane jamani
Mkimaliza mniambie...Na mm nakuja kula pasaka na wifi angu [emoji847]
Pasaka naomba ukakule kwa huyo mbebez hapo juu... Mimi nitaendelea kufunga novenaAya chamadeko wa mie: pasaka nakuja tule sote
wataka nizirai Mimi mama; juu ya yako Mimi sijiwezi ujue S amini nayokwambia.Pasaka naomba ukakule kwa huyo mbebez hapo juu... Mimi nitaendelea kufunga novena
Wala usizimie, naona mnanichezea cheusi chekundu hapo!wataka nizirai Mimi mama; juu ya yako Mimi sijiwezi ujue S amini nayokwambia.