mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
[emoji23][emoji23][emoji23]. Moo mjanja Mjanja. Anawacheka kizunguUngekuwa ulimsikia Mo jana usingeandika huu utumbo hapa
Iwe iwavyo weye ndo mshamba. Wachezaji hupeana hadi Tshirts zao kama kumbukumbu kuwa amewahi cheza na timu kubwa sio kwamba ati hawana viatu
Ni kwaajili ya kumbukumbu piaMtaja omba mpaka boxer
😂😂😂Mtaja omba mpaka boxer
Sio kwa kuomba vile tena kwa kumganda mtu mpk anakubali kutoka uwanjani pekupeku... Kupeana t-shirts ni kawaida ishara ya urafiki na kukumbukana,... Ila hili la kumganda mtu akuvulie kiatu, what they mean? Wana shida ya viatu.... Aibu nimeona mimi..Iwe iwavyo weye ndo mshamba. Wachezaji hupeana hadi Tshirts zao kama kumbukumbu kuwa amewahi cheza na timu kubwa sio kwamba ati hawana viatu
Nakubaliana na wewe. Hawa wamekuja kama team kubwa. Wamekuja kama show.Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Sawa team ya kuchagishana rambi rambiHuko nyumbani imagine wameomba nini kama sio chupi. Pathetic!
Bodaboda FC.
Wao wanaomba vitu sa thamani sisi yanga Hadi buku tunaombaLeo ndio tumejua nani ombaomba kati ya Yanga na Simba
Sasa ndio nimejua kumbe simba ni afadhali ya Yanga.Simba ni klabu Tajiri toka lini?
Kumbe utajiri wa Mo ndo utajiri wa simba?
Ni sawa na kusifia umeme uliopo kwa jirani yako wakati unatumia kibatari!
Akiondoka Mo tu hata lipuli itaizidi simba!
Iko wapi Yanga baada ya kuondoka Manji???
Afadhali kuchangisha rambi rambi kuliko kuomba chupi. Pathetic to say the least!Sawa team ya kuchagishana rambi rambi
Weka picha mtu akipewa chupi kama haipo wewe ni mtto wa malayaAfadhali kuchangisha rambi rambi kuliko kuomba chupi. Pathetic to say the least!
Wanaochangia buku Yanga ni wanayanga wenyewe na ndio jukumu lao kwakua team ni ya kwao... Yanga hawajaomba, wanawajibika katika majukumu yao na club yao... Ombaomba ni hao wanaomganda kila mpita njia,...Wao wanaomba vitu sa thamani sisi yanga Hadi buku tunaomba