3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Sasa kama unajua Simba ni tofauti na Yanga we unaumia nini labda?Wanaochangia buku Yanga ni wanayanga wenyewe na ndio jukumu lao kwakua team ni ya kwao... Yanga hawajaomba, wanawajibika katika majukumu yao na club yao... Ombaomba ni hao wanaomganda kila mpita njia,...
Simba watuombe radhi watanzania....
Najiuliza tu, hizi aibu tumeziona live hapa taifa, sasa inakuaje wanapoenda huko nje kuweka kambi!!!... Ndio maana wanaporudi hawaishi kujiwasha matakoni..
Hajaomba Yanga ameomba Sevilla we unakwazwa nini?