Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Typical MBUMBU MBU. Kumbukumbu gani inayopatikana kwenye njumu? Uache kuchukua jezi yenye jina na nembo, ukamtembeze mwenzio peku peku kwenda vyumbani.
Labda uniambie umefanyika uchunguzi mkabaini viatu vya Sevilla vinafaa sana kuendeshea boda boda