Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko nimetoka mkuu ... kadi ninayo, labda kama kuna lingineSasa wewe unaleta ushamba, mechi yoyote na timu yoyote lazima iongelewe...
Kwani timu za Ulaya si tunaziongelea na zile ambazo sio timu zetu za kuzishabikia..
Inawezekana unasema tusiongelee simba wakati hata kadi ya chama huna.
Vipi kuhusu Manara kila siku kuiongelea Yanga?, mm binafsi sioni shida yoyote
Shangaa sasa yanga wanaumia nini?.. wakati Salamba ni Simba.Lakini kawataja wanasimba ambao ni wenzio
Kumbukumbu uombe kiatu!!Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
jifunze kitu kupitia picha hiziBaada ya mpira kuisha leo wachezaji wa Simba wameonekana wakiomba viatu kwa kubembeleza kwa wachezaji wa Sevilla.
Simba ni klabu inayojinasibu kama klabu tajiri Tanzania na imejitosheleza lakini ajabu wachezaji wao wamekuwa ombaomba wa viatu.
Sasa uwekezaji wa Mo uko wapi ikiwa Wachezaji wenu wanakuwa ombaomba tena hadharani kwenye vyombo vya habari vya kimataifa huku sehemu kubwa ya dunia ikishuhudia.
Simba ituombe radhi watanzania kwa aibu hii.
Shangaa sasa yanga wanaumia nini?.. wakati Salamba ni Simba.
Idawa nimesoma michango au comments zako zote ni kuponda tu. Kweli "nyani haoni kundule". Sisi tunawaanika wachezaji professionals wetu kwenye TV kuomba michango ya dona hamuoni kama ni udhalilishaji tunawafanyia.Sasa ndio nimejua kumbe simba ni afadhali ya Yanga.
Mkuu nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa, lakini hali anayopitia Yanga na vilabu vingine vya Tanzania ni jambo la kawaida hii inatokana na mfumo wa soka letu kutotaka kubadilika.Idawa nimesoma michango au comments zako zote ni kuponda tu. Kweli "nyani haoni kundule". Sisi tunawaanika wachezaji professionals wetu kwenye TV kuomba michango ya dona hamuoni kama ni udhalilishaji tunawafanyia.
Mfano kama Kamusoko ndugu au nchini kwake wanajua ni mchezaji professional; amesajiliwa kucheza mpira, wanashangaa wananwona kwenye TV anaomba michango ya kulipwa yeye mishahara!!! Aibu hii ndogo ukilinganisha na mchezaji personal kuomba kiatu au jersey? Lakini mmekomalia, eti ooo umaskini, ooo hana kiatu, utadhani wamefanya dhambi!!
Ni kawaida mtu mweye nongwa kuangalia mambo madogo madogo ili kutafuta umbea.
WAKATI MWINGINE MNANIAIBISHA SANA WANA YANGA WEZANGU.
Saa nyingine tunajitakia au tunajitafutia wenyewe kuchambwa na kusimangwa na watani zetu. Najua haitakupendeza kusikia mpenzi au shabiki mwenzako kuyanena haya. Nadhani tupambane tuinusuru timu yetu kuliko kufuatilia mambo madogo kabisa ya mtani wetu. Tusiwatafutie nafasi ya kutusema vibaya.
Mbona mnaumia sana ndugu zangu? Tushughulikie yetu.Akili ya kuku hiyo... Account ya Simba Ina kiasi gani...
Account ya simba haina hata Mia,.. Hiyo pesa mnayodanganywa imewekezwa na MO iko kwenye account yake na sio account ya Simba,... Mjiongeze mbumbumbu nyie, mshatapeliwa..
Hao walioomba viatu ndio hao hao typical ya wa wachezaji wa mikia njaa moto boda boda fcNifunze kitu kupitia picha hiziView attachment 1106251View attachment 1106252
Katutia aibu taifa zima kwa upuuzi wake!Kiatu hakina nembo jina la mchezaji wala la club zaidi ya brand ya mdhamini.
Sasa ndiyo aombe na boxer mkuu, hii haikubalikiYeye ndio kaona viatu vinafaa.. we unamchagulia?
Viatu havina nembo?.. Wivu tu utafikiri umeombwa wewe
Hakuna anayeumia ila tunashangaaaShangaa sasa yanga wanaumia nini?.. wakati Salamba ni Simba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo akili zilikuwa zinafanya kazi nusu nusuKumbukumbu ya kufungwa? Au kupigwa chenga na mzungu!