It's not fair at all. Completely Racism.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's not fair at all. Completely Racism.
Na simba ipo africa na wachezaji wake wote ni waafrica piaHaya mambo wanayfanya wa Africa
Nchi yenyewe masikini, hata Simba wakiwa maskini sawa tuHuu umaskini tu, kumbukumbu hata ulaya wanafanya kwa kubadilishana jezi tena zina majina....sasa hicho kiatu umeona kina majina?
Halafu Salamba anaambiwa akapewe kule ndani yeye anataka palepale maskin mchezaji kampeleka pekupeku kutoka uwanjani[emoji23][emoji23]
Tanzania ni masikini ndio itakuwa Simba!Tshirt kawaida, sasa hiyo ya viatu umeona wapi tena hadharani....haaaa hii aibu ya karne
Mimi nawaambia Simba ni maskini mwenye hela ni Mo
Mmetapeliwa nyie ambao mmetoka kapa msimu huu, itabidi mkacheze ndondo kombe la mbuzi pengine mtafanikiwaAkili ya kuku hiyo... Account ya Simba Ina kiasi gani...
Account ya simba haina hata Mia,.. Hiyo pesa mnayodanganywa imewekezwa na MO iko kwenye account yake na sio account ya Simba,... Mjiongeze mbumbumbu nyie, mshatapeliwa..
Top scorer huyo... kesho anabeba ndoo
Hawana.. huko kwenu bakuli zipo ngapi?Mabodaboda ombaomba inamana team haina viațu vyakutosha
Kila bosi na bosi wake... Simba sio level ya Sevilla.Tatizo ni zile kelele za kujiona vibopa, sisi wengine tunatembea kwenye maneno yenu machafu
Wameomba viatu ili wakalingishie mtaani na kwenye mechi acha kutudanganyaIwe iwavyo weye ndo mshamba. Wachezaji hupeana hadi Tshirts zao kama kumbukumbu kuwa amewahi cheza na timu kubwa sio kwamba ati hawana viatu
Usitidanganye,wadanganye hao haoJust kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Jana mmepata viatù pair ngapi?Hawana.. huko kwenu bakuli zipo ngapi?
Sasa hapo nimekudanganya nini?? Weye wasema kuwa wameomba viatu ili wakaringishie kitaa. Na mimi nimesema, wanaweka kumbukumbu kuwa walicheza na timu kuubwa. It is the same thing guy.Wameomba viatu ili wakalingishie mtaani na kwenye mechi acha kutudanganya
Siyo hivyo sasa, wao wanataka wakawalingishie wenzao kwamba wenzao wana viatu vibaya wao wana viatu vizuri.Sasa hapo nimekudanganya nini?? Weye wasema kuwa wameomba viatu ili wakaringishie kitaa. Na mimi nimesema, wanaweka kumbukumbu kuwa walicheza na timu kuubwa. It is the same thing guy.
Vipi kuhusu uwekezaji wa Mo, hauwezi kununua njumu.?Haya maisha bila unafki sometimes hayaendi, mtu anamshangaa Salamba kuomba kiatu cha Banega(world class player), wakati mwenyewe kavaa mtumba adi boxer, na cha kushangaza zaidi ata simu anayo_comment_a kanunua kwa mtu(used_mtumba)[emoji3166][emoji3166]