Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,042
Kwani kila kitu hadi uambiwe?Halafu aliyekwambia Dauda ni yanga nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kila kitu hadi uambiwe?Halafu aliyekwambia Dauda ni yanga nani?
Sasa maskini yule mchezaji kamwsmbia kiustaarabu twende nikakupe vyumbani ila Salamba kagoma kataka palepale ili amtembeze peku..Yeye ndio kaona viatu vinafaa.. we unamchagulia?
Viatu havina nembo?.. Wivu tu utafikiri umeombwa wewe
Tatizo mnaongea kiushabiki saWewe ni yanga ya Simba huwezi kuyajua.. we jua kuchangia timu yako.
Great thinkers your among of them.Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Wangeomba kajezi mikia mmetia aibu sanaJust kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.
Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Very normalAdam Saramba kuomba kiatu sio kitu cha ajabu. It's very normal.
We ni Yanga ya Simba yanakuhusu nini.. kaweka au hajaweka timu yetu ni bora kwa sasa hapa bongo kwa uwepo wake.Mpaka sasa unajua kwenye acc ya Simba kaweka kiasi gani ?
Kama hakukuwa na shida mbona yule jamaa alimuomba akampe vyumbani Salamba kagoma...Mwenye shida alikuwa Salamba.. yule jamaa kama angetaka wangebadilishana.
Kuhusu kutembea peku , kwani alibaki uchi mbona waliovua tshirt uwanjani hamuwasemi?
Anasema kwa wale waliochukulia kama ajabu au kitu kibaya.. hakuwa na lengo baya ila FAIR PLAYVery normal
Sasa mbona kaomba radhi kwa kitendo hichoView attachment 1106222
Salamba kachagua viatu.. wewe uliyetaka aombe jezi kama ulivyokaririshwa unaumwa nini.Kama hakukuwa na shida mbona yule jamaa alimuomba akampe vyumbani Salamba kagoma...
Jezi ni kawaida kubadilishana uwanjani au mpira ndio kwanza umeangalia jana?
Hela inaombwa ikiwemo nchi inaomba na kupewa misaada ila hii ya kuomba viatu ni KUBWA KULIKO[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sasa wewe unaleta ushamba, mechi yoyote na timu yoyote lazima iongelewe...We ni Yanga ya Simba yanakuhusu nini.. kaweka au hajaweka timu yetu ni bora kwa sasa hapa bongo kwa uwepo wake.
Tukutane next season uendelee kushangilia Al ahly na Mazembe
Lakini kawataja wanasimba ambao ni wenzioAnasema kwa wale waliochukulia kama ajabu au kitu kibaya.. hakuwa na lengo baya ila FAIR PLAY
Mrudi shule
Kama video umeangalia hata mchezaji mwenyewe ameshangaa na ndio maana hakutaka kumpa palepaleSalamba kachagua viatu.. wewe uliyetaka aombe jezi kama ulivyokaririshwa unaumwa nini.
Sasa uonekane mjanja kwa viatu vya sevilla.. Vp angeomba kwa yanga?
Dogo hapo ndio kabugi.. lugha haipandi hata ishara ikamshinda.Sasa maskini yule mchezaji kamwsmbia kiustaarabu twende nikakupe vyumbani ila Salamba kagoma kataka palepale ili amtembeze peku..
Hii sio fair kabisa
Mimi sio Yanga kaulize wanachama wa Yanga watakuwa na majibuligi imeisha mmepata nini yanga?
KabisaDogo hapo ndio kabugi.. lugha haipandi hata ishara ikamshinda.
Ela ina utaratibu wake mkuu.. viongozi ndio wanajua mipango yao.Tatizo mnaongea kiushabiki sa
Mbona Mo mwenyewe kaongea kwamba mpaka muda huu zile bil 20 hajaziweka kwenye acc ya simba
Kweli mkuu.. Sevilla ni timu Kubwa duniani na wachezaji wake sio level yetu hata kidogo.Great thinkers your among of them.
Hata mimi nikutane na Christian Ronaldo LEO ntavyomuomba chochote chake watu hawatoamini...
Kuna vitu watu wanachukulia vya kawaida sana Hiyo team/hao wachezaji kuna ambao hawatokaa wawaone milele mpaka wanafariki... WHY wasiombe kumbu kumbu??
Tanzania hiiii hamna utachofanya kikaonekana chema..HAMNA HAMNA.
Salamba kapenda viatu.. jezi mtume Ngassa afateWangeomba kajezi mikia mmetia aibu sana