Simba leo mmetia aibu kuomba viatu kwa wachezaji wa Sevilla

Simba leo mmetia aibu kuomba viatu kwa wachezaji wa Sevilla

Vyura wanahisi wametengwa! Roho zinawauma! Yaan wanaelekea kuwa wachawi, kila kitu cha mnyama lazma waweke nongwa! Na bado!
 
Vyura jifunzeni kwa chura mwenzenu
IMG-20190523-WA0039.jpg
 
Iwe iwavyo weye ndo mshamba. Wachezaji hupeana hadi Tshirts zao kama kumbukumbu kuwa amewahi cheza na timu kubwa sio kwamba ati hawana viatu
Sio kwa kuomba vile tena kwa kumganda mtu mpk anakubali kutoka uwanjani pekupeku... Kupeana t-shirts ni kawaida ishara ya urafiki na kukumbukana,... Ila hili la kumganda mtu akuvulie kiatu, what they mean? Wana shida ya viatu.... Aibu nimeona mimi..
 
Just kama kumbu kumbu tu, sio kwamba wanaomba kisa umaskini.

Wakati mwingine tutumie vichwa vyetu kureason not otherwise!
Nakubaliana na wewe. Hawa wamekuja kama team kubwa. Wamekuja kama show.
Mimi naona kama wasingeombwa ingekuwa sio poa. Nimefurahi kuwa baada ya mechi ndio ushabiki umeonekana. Ila wakati wa mechi ...hapa kazi tu...
 
Simba ni klabu Tajiri toka lini?
Kumbe utajiri wa Mo ndo utajiri wa simba?
Ni sawa na kusifia umeme uliopo kwa jirani yako wakati unatumia kibatari!
Akiondoka Mo tu hata lipuli itaizidi simba!
Iko wapi Yanga baada ya kuondoka Manji???
 
Simba ni klabu Tajiri toka lini?
Kumbe utajiri wa Mo ndo utajiri wa simba?
Ni sawa na kusifia umeme uliopo kwa jirani yako wakati unatumia kibatari!
Akiondoka Mo tu hata lipuli itaizidi simba!
Iko wapi Yanga baada ya kuondoka Manji???
Sasa ndio nimejua kumbe simba ni afadhali ya Yanga.
 
Wao wanaomba vitu sa thamani sisi yanga Hadi buku tunaomba
Wanaochangia buku Yanga ni wanayanga wenyewe na ndio jukumu lao kwakua team ni ya kwao... Yanga hawajaomba, wanawajibika katika majukumu yao na club yao... Ombaomba ni hao wanaomganda kila mpita njia,...
Simba watuombe radhi watanzania....
Najiuliza tu, hizi aibu tumeziona live hapa taifa, sasa inakuaje wanapoenda huko nje kuweka kambi!!!... Ndio maana wanaporudi hawaishi kujiwasha matakoni..
 
Back
Top Bottom