Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Jamani ile penalty ya pili hapana aiseee,hata sijashangilia,najua wachezaji wanachoka kwa ratiba iliyobanana ila waongeze umakini kwenye chances wana zo create,maana kama kipindi cha kwanza walipoteza chances nyingi sana
Tushukuru tu refa kwa ile controversial penalty ya pili.
tafuta threads zangu utaona mimi ni shabiki wa simba,hatukuhitaji penalty ile ya kijinga ku win game ile, tulikuwa na uwezo wa kufunga 3 clean goals kabisa
mi mwenyewe ni simba damu ila kiuchambuzi madogo walitubana sana
Kwa wewe ulivyoona mkono ulifuata mpira kwa lengo kuuzuia au mpira ndio uliofuta mkono (kumgonga)?Sasa sheria ya kushika haisemi kushika ni pale tu mpira unapoelekea langoni kwako.
ndo mana ukishika mpira hata katikati ya uwanja ni adhabu ya freekick.
Ko haijalishi mpira umeshika mpira wakt unaelekea kwako au kwa adui
Hawezi kukuelewa huyo! Anatetea mbeleko yaoKwa wewe ulivyoona mkono ulifuata mpira kwa lengo kuuzuia au mpira ndio uliofuta mkono (kumgonga)?
Hawajaondolewa kwa kuibeba simba wameondolewa kwa kuchezesha vibaya mchezo kati ya KMC dhidi ya Simba ScKwahiyo Tff kuwaondoa marefa waliochezesha mechi ya simba wamekosea kwa wale wanaopinga simba kubebwa.