Simba malizeni fungate yenu ya kusherehekea semi final ya shirikisho mje kuzipa gap la points 10

Simba malizeni fungate yenu ya kusherehekea semi final ya shirikisho mje kuzipa gap la points 10

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mashabiki na Wanachama huwambii kitu baada ya kufuzu semi final huko shirikisho yaani UMISETA au netball au mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda

Leo young Africans amemfunga Azam na kuongeza gap la points 10

Kumbuka Azam na Yanga ndo wababe maana wamecheza CAFCL msimu huu ila Simba yeye ametwanga kwenye mashindano madogo ya shirikisho

Namna pekee ya kutofungwa na Yanga ni kukimbia mbio kali kama mtani 5imba

Mtani 5imba alichungulia akaona kipigo cha kufungwa mara 5 mfululizo, akaamua akimbie mechi

Nasema hivi
TUTACHEZA
 
Yanga njooni mmalize gap la points CAF........Simba nafasi ya nne Yanga ya 76
Points za CAF zinakusaidia nini upo huko shirikisho UMISETA yaani mashindano ya akina mama
 
Yanga leo imecheza kikubwa na kuonesha wazi ni timu kali kuwahi kutokea duniani, Azam ulimi nje. Kwasasa tuko tayari kucheza derby makolo waje sasa tuwakande khamsa tu maana hakuna namna, wapigwe tu! Kwa boli tulilopiga leo chamazi, basi naomba viongozi wa Yanga mlegeze kamba tudai fidia tu kisha tukubalia kucheza na makolo maana ubingwa tayari ila ubingwa utanoga zaidi tukiwakanda Simba ili tuwakate kamdomo ka ushindi wa kuingia nusu fainali kombe la single mothers!

Ambacho sikupenda leo ni baada ya kuwatandika Azam bakora mbili safi bila majibu eti tukaanza kuwaonea huruma na kucheza kama mazoezi tu tukaacha kuwakabia juu na kuwakata pumzi, wale Azam walipaswa kula goli khamsa japo mwanangu ni Azam alichukia sana leo huku kavaa jezi nilizomnunulia! Kwa kupunguza nguvu ya kucheza baada ya kufunga goli mbili, si kila siku tutakuwa na bahati ya kusalia na ushindi Hadi kipyenga cha mwisho

Kocha Hamdi please aongeze mazoezi ya pumzi na kukimbia maana dkk 20 za mwisho Azam walisumbua sana na kupata bao. Ile intensity ya Ramovic irudi tena Yanga icheze kwa nguvu ile ile kwa dkk 90. Ikibidi kipindi cha pili nguvu iwe mara tatu zaidi kama kipindi cha kocha Nabi.

Azam waambiwe wapunguze rafu za kijinga kwenye mechi za Yanga, waache kukamia wachezaji wa uto, wataua vipaji, inaonekana ndio mbinu wamebaki nayo maana mpira umewashinda, Yanga ni Mlima mrefu kwao, rafu ya Mwaikenda kwa Prof Pacome imetuudhi sana wana utopolo wa Buza mpalanger na rafu ya Akaminko kwa Maxi Nzengeli ilikuwa mbaya mno rafu zote mbili zilistahili red cards, hawa tff hawana faida kabisa , tff wawakanye Azam waache rafu mechi za Yanga , mpira si vita ni burudani, Azam wacheze boli sio Kung Fu. Huyu Akaminko ashawahi kumuumiza Skudu na kumharibia kiwango. Huyu hafai kucheza NBC league.

Yanga bingwa!!
Wapi fataki za sheikh Amri Abeid!!
 
Nafasi ya nne Afrika na pointi 76 halafu huna kombe lolote ka maana! Si umbumbumbu wa hali ya juu sana huu.
Msemaji wa timu yako alipo kuwa anasema kuwa uongozi wa yanga unaumizwa kichwa na Simba kuwa juu ya yanga kwenye lank za caf ww ulikuwa hujazaliwa?
 
Msemaji wa timu yako alipo kuwa anasema kuwa uongozi wa yanga unaumizwa kichwa na Simba kuwa juu ya yanga kwenye lank za caf ww ulikuwa hujazaliwa?
Hilo ni suala la muda tu, kila rekodi ya makolo itavunjwa!!

Hivi hujiulizi kwa nini Zenji wamedhamini Yanga ile "Visit Zanzibar" na sio Simba iliyo na hizo rank? Nyie endeleeni kukimbia derby tu siku moja mtajaa kama Azam!!
 
Mashabiki na Wanachama huwambii kitu baada ya kufuzu semi final huko shirikisho yaani UMISETA au netball au mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda

Leo young Africans amemfunga Azam na kuongeza gap la points 10

Kumbuka Azam na Yanga ndo wababe maana wamecheza CAFCL msimu huu ila Simba yeye ametwanga kwenye mashindano madogo ya shirikisho

Namna pekee ya kutofungwa na Yanga ni kukimbia mbio kali kama mtani 5imba

Mtani 5imba alichungulia akaona kipigo cha kufungwa mara 5 mfululizo, akaamua akimbie mechi

Nasema hivi
TUTACHEZA
💩
 
Msemaji wa timu yako alipo kuwa anasema kuwa uongozi wa yanga unaumizwa kichwa na Simba kuwa juu ya yanga kwenye lank za caf ww ulikuwa hujazaliwa?
Mimi siyo kasuku kama mlivyo nyinyi. Msemaji wa timu yangu hana uhusiano na mtazamo wangu. Kwangu mimi naona ni umbumbumbu wa hali juu mnaposhangilia kushika nafasi ya nne huku mkiwa ni misimu 4 mfululizo pasipo na kombe lolote!

Hiyo nafasi ina maana kama kwenye ligi yenu mnatapatapa tu. Ubingwa wa ligi kuu na shirikisho mnausikia tu kwa jirani. Kama nyinyi ni bora, tuwaone mnachukua makombe. Na siyo kujivunia rankings, zisizo na faida inayo eleweka.
 
Hili swali linawahusu nyinyi mashabiki, na siyo Ally Kamwe. Kuwa nafasi ya 4 Afrika, halafu huna kikombe chochote kwa miaka minne mfululizo! Ina faida gani?
Chukua makombe yote ya miaka mi4 mliyokusanya, yeyusha uza jumlisha na pesa za ushindi halafu linganisha na pesa mlizopataga kwa kufika nusu fainali shirikisho utagundua tafsiri ya kuwa namba 4 kwa ubora Africa.

Kuchukua kombe la ligi bila kuitumia hiyo nafasi kufika hatua za mbele kombe la Africa ni sawa na kuoa mke mzuri ila hupati unyumba unachungulia akioga halafu unajichua.
 
Back
Top Bottom