NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Hili swali linawahusu nyinyi mashabiki, na siyo Ally Kamwe. Kuwa nafasi ya 4 Afrika, halafu huna kikombe chochote kwa miaka minne mfululizo! Ina faida gani?
Hili swali linawahusu nyinyi mashabiki, na siyo Ally Kamwe. Kuwa nafasi ya 4 Afrika, halafu huna kikombe chochote kwa miaka minne mfululizo! Ina faida gani?
Mbona kadiri muda ulivyokuwa unaenda Wachezaji wa Utopolo walikataa moto au yale masindano yenu yalikata moto nayoYanga leo imecheza kikubwa na kuonesha wazi ni timu kali kuwahi kutokea duniani, Azam ulimi nje. Kwasasa tuko tayari kucheza derby makolo waje sasa tuwakande khamsa tu maana hakuna namna, wapigwe tu! Kwa boli tulilopiga leo chamazi, basi naomba viongozi wa Yanga mlegeze kamba tudai fidia tu kisha tukubalia kucheza na makolo maana ubingwa tayari ila ubingwa utanoga zaidi tukiwakanda Simba ili tuwakate kamdomo ka ushindi wa kuingia nusu fainali kombe la single mothers!
Ambacho sikupenda leo ni baada ya kuwatandika Azam bakora mbili safi bila majibu eti tukaanza kuwaonea huruma na kucheza kama mazoezi tu tukaacha kuwakabia juu na kuwakata pumzi, wale Azam walipaswa kula goli khamsa japo mwanangu ni Azam alichukia sana leo huku kavaa jezi nilizomnunulia! Kwa kupunguza nguvu ya kucheza baada ya kufunga goli mbili, si kila siku tutakuwa na bahati ya kusalia na ushindi Hadi kipyenga cha mwisho
Kocha Hamdi please aongeze mazoezi ya pumzi na kukimbia maana dkk 20 za mwisho Azam walisumbua sana na kupata bao. Ile intensity ya Ramovic irudi tena Yanga icheze kwa nguvu ile ile kwa dkk 90. Ikibidi kipindi cha pili nguvu iwe mara tatu zaidi kama kipindi cha kocha Nabi.
Azam waambiwe wapunguze rafu za kijinga kwenye mechi za Yanga, waache kukamia wachezaji wa uto, wataua vipaji, inaonekana ndio mbinu wamebaki nayo maana mpira umewashinda, Yanga ni Mlima mrefu kwao, rafu ya Mwaikenda kwa Prof Pacome imetuudhi sana wana utopolo wa Buza mpalanger na rafu ya Akaminko kwa Maxi Nzengeli ilikuwa mbaya mno rafu zote mbili zilistahili red cards, hawa tff hawana faida kabisa , tff wawakanye Azam waache rafu mechi za Yanga , mpira si vita ni burudani, Azam wacheze boli sio Kung Fu. Huyu Akaminko ashawahi kumuumiza Skudu na kumharibia kiwango. Huyu hafai kucheza NBC league.
Yanga bingwa!!
Wapi fataki za sheikh Amri Abeid!!
Ukiondoa point 15 na kushuka madaraja mawili, zinabaki ngapi?Leo young Africans amemfunga Azam na kuongeza gap la points 10
Hata CBE ya Ethiopia ina vikombe vingi vya ndaniHili swali linawahusu nyinyi mashabiki, na siyo Ally Kamwe. Kuwa nafasi ya 4 Afrika, halafu huna kikombe chochote kwa miaka minne mfululizo! Ina faida gani?
What is so special about nusu fainali!! Yanga amefika mpaka fainali, tena alimfunga Mwarabu kwenye uwanja wake wa nyumbani! Tena ni kanuni tu ndizo ziliamua bingwa awe nani hata baada ya kuwa na uwiano wa magoli!Chukua makombe yote ya miaka mi4 mliyokusanya, yeyusha uza jumlisha na pesa za ushindi halafu linganisha na pesa mlizopataga kwa kufika nusu fainali shirikisho utagundua tafsiri ya kuwa namba 4 kwa ubora Africa.
Kuchukua kombe la ligi bila kuitumia hiyo nafasi kufika hatua za mbele kombe la Africa ni sawa na kuoa mke mzuri ila hupati unyumba unachungulia akioga halafu unajichua.
Ukiona umemfunga mtu kwao lakini bado hukutangazwa kuwa mshindi, basi ujue naye alikufunga kwako ila husemi 😃😃😃What is so special about nusu fainali!! Yanga amefika mpaka fainali, tena alimfunga Mwarabu kwenye uwanja wake wa nyumbani! Tena ni kanuni tu ndizo ziliamua bingwa awe nani hata baada ya kuwa na uwiano wa magoli!
Nimekuuliza Yanga ilipofika fainali ilipata kiasi gani cha fedha mpaka uone hakuna umuhimu wa kuvuka makundi kila mwaka na kupanda ranks?What is so special about nusu fainali!! Yanga amefika mpaka fainali, tena alimfunga Mwarabu kwenye uwanja wake wa nyumbani! Tena ni kanuni tu ndizo ziliamua bingwa awe nani hata baada ya kuwa na uwiano wa magoli!
Ha ha haa 😆😆Halafu kinachowauma zaidi walitegemea Coastal Union, Azam na Tabora united zingewasaidia kupunguza hilo gap! Bahati mbaya imeshindikana. Kwa hkyo watatakiwa kuja wenyewe kupambana.