Simba malizeni fungate yenu ya kusherehekea semi final ya shirikisho mje kuzipa gap la points 10

Hili swali linawahusu nyinyi mashabiki, na siyo Ally Kamwe. Kuwa nafasi ya 4 Afrika, halafu huna kikombe chochote kwa miaka minne mfululizo! Ina faida gani?
 

Attachments

  • 57008db9e69a4b59931822e867cf4b56.mp4
    9.1 MB
Mbona kadiri muda ulivyokuwa unaenda Wachezaji wa Utopolo walikataa moto au yale masindano yenu yalikata moto nayo
 
What is so special about nusu fainali!! Yanga amefika mpaka fainali, tena alimfunga Mwarabu kwenye uwanja wake wa nyumbani! Tena ni kanuni tu ndizo ziliamua bingwa awe nani hata baada ya kuwa na uwiano wa magoli!
 
Nyie endeleeni kujikusanyia pwenti, Simba haichezi tena ligi ya NBC mpaka mwezi June msije kutuumizia wachezaji wetu maana mmejaa wivu balaa.

Uzuri Simba ikianza kumaliza viporo vyake, itakuwa inajua inahitaji pwenti ngapi kuwa bingwa, magoli mangapi kupata mfungaji bora, nk. Yaani kiufupi itakuwa inacheza kimkakati zaidi.
 
What is so special about nusu fainali!! Yanga amefika mpaka fainali, tena alimfunga Mwarabu kwenye uwanja wake wa nyumbani! Tena ni kanuni tu ndizo ziliamua bingwa awe nani hata baada ya kuwa na uwiano wa magoli!
Ukiona umemfunga mtu kwao lakini bado hukutangazwa kuwa mshindi, basi ujue naye alikufunga kwako ila husemi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
What is so special about nusu fainali!! Yanga amefika mpaka fainali, tena alimfunga Mwarabu kwenye uwanja wake wa nyumbani! Tena ni kanuni tu ndizo ziliamua bingwa awe nani hata baada ya kuwa na uwiano wa magoli!
Nimekuuliza Yanga ilipofika fainali ilipata kiasi gani cha fedha mpaka uone hakuna umuhimu wa kuvuka makundi kila mwaka na kupanda ranks?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…