Simba maneno mengi acheni timu tumeiona leo

Simba maneno mengi acheni timu tumeiona leo

Tareh 25/9/2021.Tunakuzika kabisa Nyama pori
Sawa ndo level zenu izo,Simba focus ni kimataifa zaidi,Darby zipo na zitaendelea kuwepo.
Simba kawabeba mmetia aibu nyinyi tu, Azam na Biashara wamesonga.
 
Wataishia tu kupigwa nyumbani na ugenini! Na kwa bahati mbaya aliyekuwa akiwajaza upepo, kwa sasa hayupo! Sijui watapambana vipi.
Kwahiyo mmemchukua manara ili awafariji mnapofungwa? 🤣🤣🤣🤣 uto kama uto
 
Maneno ya mkosaji hayo.
Return of champion imeishia Nigeria,hamasa za Manara zimeshindwa kuleta ahueni kwa Yanga kwasababu ya timu lenu bovu.
Manara anacheza namba ngapi uwanjani,nyie wenye timu imara mbona leo mlikuwa mnapumulia mashine, umakini mdogo wa washambuliaji wa tp mazembe umewaokoa kuondoka na gunia la magoli
 
Manara anacheza namba ngapi uwanjani,nyie wenye timu imara mbona leo mlikuwa mnapumulia mashine, umakini mdogo wa washambuliaji wa tp mazembe umewaokoa kuondoka na gunia la magoli
Simba timu kubwa imefungwa na mkubwa mwenzie mechi ya kirafiki,watakaa wakubwa kwa wakubwa wayamalize.

Tuje kwenu sasa,,,mmefungwa nje ndani michuano ya kimataifa na timu ya Nigeria kwa hapa bongo ni kama Gwambina ya Mwanza na mmetolewa.
Nani kapoteza kati ya Yanga na Simba?
 
Back
Top Bottom