Sawa ndo level zenu izo,Simba focus ni kimataifa zaidi,Darby zipo na zitaendelea kuwepo.
Simba kawabeba mmetia aibu nyinyi tu, Azam na Biashara wamesonga.
Manara anacheza namba ngapi uwanjani,nyie wenye timu imara mbona leo mlikuwa mnapumulia mashine, umakini mdogo wa washambuliaji wa tp mazembe umewaokoa kuondoka na gunia la magoli
Manara anacheza namba ngapi uwanjani,nyie wenye timu imara mbona leo mlikuwa mnapumulia mashine, umakini mdogo wa washambuliaji wa tp mazembe umewaokoa kuondoka na gunia la magoli
Simba timu kubwa imefungwa na mkubwa mwenzie mechi ya kirafiki,watakaa wakubwa kwa wakubwa wayamalize.
Tuje kwenu sasa,,,mmefungwa nje ndani michuano ya kimataifa na timu ya Nigeria kwa hapa bongo ni kama Gwambina ya Mwanza na mmetolewa.
Nani kapoteza kati ya Yanga na Simba?