Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau!
Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu;
Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako huitikii na kibaya zaidi unazomea!
Sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! NAIMANI wengi mlishasahau! Lakini haiishi hadi iishe!
Seleman Mwalimu wala si kwamba Yanga anahitajika sana hapana, Bali Lengo ni jingine na tunashukuru limefanikiwa 100% hadi muda huu, Lazima mshike adabu ili siku nyingine mjifunze kuheshimu wakubwa,
Kesho Mwamuzi wa Kati Refa bora kabisa AHMED ARAJIGA anatia mguu ili mchanganyikiwe vizuri!
Kama mnataka Amani irejee Simba ombeni kwanza msamaha wakubwa.
Kuuhusu Mangungu Mwacheni kama alivyo, hahusiki na chochote Kwanza Hata mangungu Mlimkosea Adabu tangu siku ya kwanza alipochaguliwa najua mmesahau!
Kesho kila mbinu ya kugomea mechi kisa mwamuzi Haitafanikiwa ili adabu irudi mahala pake!