Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
Walikosa adabu sana siku ile wacha walaumiane kwanzaSimba wamezoea mbeleko hadi wanasahau wakubwa zao nchi hii.
Awamu hii hata makundi Simba haingiii, Ulinzi utaimarishwa Mechi zake za nyumba hakuna kufukia dawa uwanjani (polisi watalinda viwanja ) hadi siku simba wakijua makosa yaoHata champions league mpelekeni Arajiga achezeshe match zenu
Mangungu mitano tenaSimba ndo timu gani huko dar jamani? Au ndo ile kata gogo sports club. Na nimesikia tetesi za kwamba msimu ujao yanga inawasajili timu nzima kasoro mangungu na ahmed ally anapewa kazi ya kusafisha vyoo. Hayo maneno nimeyasikia baada ya kumaliza konyagi ya pili.
we sema mitano tena na timu ndo inakufa hivo. Au ndo wanataka kumleta mayele, messi, halland, na akina victor maana sio kwa style waliyonayo kwa sasaMangungu mitano tena
Umoja wa maskini ni kelele tuwe sema mitano tena na timu ndo inakufa hivo. Au ndo wanataka kumleta mayele, messi, halland, na akina victor maana sio kwa style waliyonayo kwa sasa
Hata refa angesimama Mangungu Timu ya Simba haina ushindaniHata champions league mpelekeni Arajiga achezeshe match zenu
na wingi wa matajiri ni nini?Umoja wa maskini ni kelele tu
Umoja wa matajiri ni kilio kwa maskinina wingi wa matajiri ni nini?
Kwahiyo kosa la Simba ni kutokumshangilia na kumzomea Samia?Umoja wa matajiri ni kilio kwa maskini
Mechi mbona ilikuwa very fair.Hata champions league mpelekeni Arajiga achezeshe match zenu
Hata akifulia atakopesheka tu ili simba apate adabu apunguze jeuri! Wakubwa wakujengee jukwaa halafu unalitumia kuzomea waliokujengea weee unajitaka hujitaki.Mechi mbona ilikuwa very fair.
Chini ya GSM sahauni kabisa kupata mafanikio makubwa kuizidi Yanga kama fedha zenu zipo bank.
msimu huu simba wajipange kwa kweliUmoja wa matajiri ni kilio kwa maskini
Yule Tajiri wao Simba siyo Tajiri , ni msemaji wa kampuni Siyo Final say!msimu huu simba wajipange kwa kweli
bro umesema ni kama unaish na hao watu. Duh!Yule Tajiri wao Simba siyo Tajiri , ni msemaji wa kampuni Siyo Final say!
Yaani kiufupi ni msemaji kama alivyo Ahamed ally au ally kamwe hadi kikao cha familia kiamue ndipo utekelezaji ufanyike!
Gsm kufulia ni uongo kwa uwekezaji anaozidi kuufanya.Hata akifulia atakopesheka tu ili simba apate adabu apunguze jeuri! Wakubwa wakujengee jukwaa halafu unalitumia kuzomea waliokujengea weee unajitaka hujitaki.
Simba hatokaa afukie dawa zake uwanjani hadi siku atakapojua kuheshimu watu walioshika mpini. Ulinzi utaimalishwa kila mechi zake had aimbe poo