OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Mimi naomba nipingane na mashabiki wote wa simba na wachambizi wa mchele hapa Bongo wanaojiita wachambuzi wa soka.
Kibu, Mpanzu na Ahoua hawa watu wanatabia moja ya kupenda sifa, mapicha picha, camera na ujiko
Uchezaji wao ni kama wa boka au kibwana shomari tena afadhali boka na kibwana maana wao ni ni mabeki
Hawajui kitu kinachoitwa Assist, akili zao ni kupiga mashuti hovyo hovyo bila ulazima wowote (mpira wa kizamani)
Simba kwenye hii michuano ingeshinda kwa kishindo kama hawa watu wangefanya kazi yao ipasavyo
Mtu unavuka msitu wa mabeki unashindwa kuchomekea pasi kwa wenzako unafosi kukata chenga nyingine unapokobywa mpira mbaya zaidi kocha haoni tatizo
Unapiga mashuti hovyo hovyo kama upo ndondo cup serious!
Hawa wachezaji msipowaacha bunju mtazalilika vibaya sana mkikutana na mwarabu wa morocco
Mutale, chasambi na balua wapewe nafasi hawa akina kibu watawahujumu siku sio nyingi
Nawasilisha