OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
- Thread starter
- #21
Sema we jamaa nahisi IQ yako ya kuchakata mambo ni 9/10 hua unaongea vitu vinavyokuja kutokea baada ya muda kupita ..Wwtu mnamchukulia poa mutale
Leo kawapepeta waarabu ule upande ulikuwa mchungu
Mtanielewa miaka nane mbeleni
Dah hatari sana
Walokuponda wote hii thread kama hawaioni tena.Dah hatari sana