Simba mlichowafanyia biashara sio poa

Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo.

Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara?..
Ndugu nakuomba kwa taadhima ,uweke ushahidi hapa ili kwamna hili jambo lichukuliwe hatua stahiki.
 
Ndugu nakuomba sana uweke ushahidi wako hapa au nitumie dm ili hatua zichukuliwe.
 
Kwa Uyanga wangu ninazidi kuwakumbusha mashabiki na wanachama wenzangu tumthamini sana GSM....hata wale wa Simba pia wamthamini sana MO DEWJI....
Sasa kuna wajinga watakwambia ooh hao hawana wanachokifanya nikuibia tu timu uku yeye ata mia 500 hawezi kutoa.Mpira ni pesa sio porojo za mdomoni.
 
Umeandika ujinga.Yaani Tff na simba ndio wameifanya biashara wasiwe na fedha zakuwapeleka libya.This is bullshit.

Kwasababu wangekua na pesa wangeondoka kitambo hata hayo mambo ya ndege na vibali yasingekuwepo.mashabiki wa yanga mkoje nyie lakini?.
 
Biashara wenyewe pia wanajiendesha kisiasa siasa tu wangesema tu Jaman hatuna nauli tuchangien lingepigwa harambee moja Matata vijana tunapenda mpira tena inawezakana wamechukua mlungula s bure
 
Ndugu nakuomba sana uweke ushahidi wako hapa au nitumie dm ili hatua zichukuliwe.
Hapana mimi nilikuquote alichosema mtoa mada, mwenyewe nataka kuona huo ushahidi mkuu ndio maana I have surrounded the entire phrase in quotation marks.Sorry, it isn't me but him who claim so. Thank you
 
Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo.

Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara...
Weka huo ushahidi hapa wacha kupiga ramli.

Mkuu wa mkoa alifuatilia?
 
Umeandika ujinga.Yaani Tff na simba ndio wameifanya biashara wasiwe na fedha zakuwapeleka libya.This is bullshit.Kwasababu wangekua na pesa wangeondoka kitambo ata hayo mambo ya ndege na vibali yasingekuwepo.mashabiki wa yanga mkoje nyie lakini?.
Mashabiki wa UTO wana matatizo ya kisaikolojia maana kila mda wanawaza ni lini Simba itaacha kuwabeba wanaona huo uwezakano haupo ndio maana
 
Unatumia picha ya Nyerere kwenye avatar halafu unaandika vitu kama hivi ?
Lakini kasema ana ushahidi wa kutosha. Ushahidi ndio msingi wa hoja, laiti kama asingesema ana ushahidi wa kutosha basi ilikuwa kaandika pumba. Kwanini usihoji kuhusu ushahidi?
 
Lakini kasema ana ushahidi wa kutosha. Ushahidi ndio msingi wa hoja, laiti kama asingesema ana ushahidi wa kutosha basi ilikuwa kaandika pumba. Kwanini usihoji kuhusu ushahidi?
Simba waifanyie hujuma biashara ambayo hata pesa ya kusafirisha timu hawana.?
 
Makolo yanajua kuharibu tu yaonekane yenyewe kuwa ni bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…