Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,664
- 2,810
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walitoaHivi serikali kweli inashindwa kutoa ata ndege moja timu iweze kusafiri?
Yaani uko ndo tulikofikia?
Post namba 21 kuna mtu ameshaliongelea hilo la kumtaka alete ushahidi. Hivyo kama anao uhakika anachoongea atajibu kwa uthibitisho ila akikaa kimya au akileta porojo basi ni wazi atakuwa muongo na mzushi.Sasa mbona hujamwambia alete huo ushahidi ?
Unajua CAF imejaa watu wa Simba sana, yaani hujuma nje njeMmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo.
Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara?...
Azam kapigwa, huyu kafanyiwa hujuma asisafiri vitu tofautiHata AZAM naye OUT! Ni SIMBA hao hao! Fitina kila kona!
CAF kaingiajeUnajua CAF imejaa watu wa Simba sana, yaani hujuma nje nje
Mwaga huo ushahidi hapa.Nina ushaidi wa kutosha kwamba Rais wa TFF pamoja na viongozi wandamizi wa Simba na baadhi wa serikali wameihujumu biashara ili isisafiri kisa ilitoa droo na Simba.
Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo.
Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara?
Kwa kuwatumia watu wa kushughulikia vibari mmechomeka rushwa ili wakwamishe vibari vya kusafiri?
Mtu wa Kwanza aliyeihujumu Biashara Ni Rais wa TFF ambaye Ni Simba damu.
Yaani inakuwaje mlezi wa timu zote anakuwa na chuki kwa timu iliyopiga hatua hivi.
Nina ushaidi wa kutosha kwamba Rais wa TFF pamoja na viongozi wandamizi wa Simba na baadhi wa serikali wameihujumu biashara ili isisafiri kisa ilitoa droo na Simba.
Kwa syle hi soka letu litasubiri Sana ikiwa timu zinahujumiwa na viongozi wa mpira.
Takukuru na Serikali naomba ichunguze sakata hili Kuna hujuma kubwa imefanywa na Simba ili kuwakomoa biashara.
Sawasawa nimekupata.Hapana mimi nilikuquote alichosema mtoa mada, mwenyewe nataka kuona huo ushahidi mkuu ndio maana I have surrounded the entire phrase in quotation marks.Sorry, it isn't me but him who claim so. Thank you
Ndege kwa biashara ? In which return? Ndege sio kimbinyikoHivi serikali kweli inashindwa kutoa ata ndege moja timu iweze kusafiri?
Yaani uko ndo tulikofikia?
Nami nilijua jamaa hakukuelewa!Hapana mimi nilikuquote alichosema mtoa mada, mwenyewe nataka kuona huo ushahidi mkuu ndio maana I have surrounded the entire phrase in quotation marks.Sorry, it isn't me but him who claim so. Thank you
Cc MALCOM LUMUMBAHahaha ngoja sasa jasho la wanaume livuje uwanjani kuanzia kesho ili taifa lipate tena nafasi nne za uwakilishi kimataifa. Simba sisi tunaendelea kuwa wazalendo kuwabeba makubwa jinga