Simba mlichowafanyia biashara sio poa

Sasa mbona hujamwambia alete huo ushahidi ?
Post namba 21 kuna mtu ameshaliongelea hilo la kumtaka alete ushahidi. Hivyo kama anao uhakika anachoongea atajibu kwa uthibitisho ila akikaa kimya au akileta porojo basi ni wazi atakuwa muongo na mzushi.
 
Hata AZAM naye OUT! Ni SIMBA hao hao! Fitina kila kona!
Azam kapigwa, huyu kafanyiwa hujuma asisafiri vitu tofauti

TFF anasema et ijumaa na jmos anga la sudani na Libya halipitiki linakuwa na mionzi ya uranium hahahaha TFF makanjanja sana
 
Unajua CAF imejaa watu wa Simba sana, yaani hujuma nje nje
CAF kaingiaje

Nimekumbuka ile mechi iliyo badirishwa muda kienyeji TFF bwana bila adhabu wala faini kwa nyau na akaishia kupigwa baada ya marudio
 
Nina ushaidi wa kutosha kwamba Rais wa TFF pamoja na viongozi wandamizi wa Simba na baadhi wa serikali wameihujumu biashara ili isisafiri kisa ilitoa droo na Simba.
Mwaga huo ushahidi hapa.
 
Hii ni dalili ya ugonjwa wa akili.
Wahi Hospitali ukachunguzwe maana si kwa derilium na hallucinations ulizonazo
 
Hapana mimi nilikuquote alichosema mtoa mada, mwenyewe nataka kuona huo ushahidi mkuu ndio maana I have surrounded the entire phrase in quotation marks.Sorry, it isn't me but him who claim so. Thank you
Sawasawa nimekupata.
 
Hapana mimi nilikuquote alichosema mtoa mada, mwenyewe nataka kuona huo ushahidi mkuu ndio maana I have surrounded the entire phrase in quotation marks.Sorry, it isn't me but him who claim so. Thank you
Nami nilijua jamaa hakukuelewa!
 
Umeandika utumbo, vipi Mara ya Kwanza kwenda Djibouti, biashara alihujumiwa na simba,? Fikiri kabla ya kuandika
 
Nawe ukienda kijijini kwenu wanakuita msomi Qmmke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…