Simba mmesikia alichokisema Ajibu?

Simba mmesikia alichokisema Ajibu?

Mwacheni atapoa kama kaseke na kessi walivyopoa. Vyura hawawezi tunza kipaji chako. Ukipoa tu wanakupotezea. Acheni afurahi ila number ikipata mwenyewe atilia kuwekwa bench.
Wakati Kaseke anakuja Yanga, mwenzake Pita Mwalyanzi alienda simba! Hebu tuambie yupi aliyepotea katika soka kati ya Kaseke na Mwalyanzi? Kisha utajua ni timu gani inayoua vipaji vya wachezaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbojo Hawezi kukujibu mkuu, lazima aingie Mitini
 
Hivi unalinganisha kiwango cha Kaseke na Mwalianzy walipokuwa mbeya city! Kaseke alikuwa mwiba wewe hata mkamtorosha asichukuliwe na mnyama.
 
Tuambie Pita Mwalyanzi yuko wapi sa hiz? Mlimchukua pale Mbeya city akiwa bonge la mchezaji! Mmeshiriki kikamilifu kuua kipaji chake! Usidanye watu kile kikosi cha Mbeya city karibu jamaa wote walikuwa vizuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sizitaki mbichi hizi
Sio kwamba Simba wanamponda Ajibu, Simba tumefulahi kwamba aende akacheze timu anayoipenda maana atacheza kwa kiwango cha juu.
Huku alikuwa anatukaba kama Kessi, Yondani na Ngasa.
Ajibu alionesha wazi kwamba hachezi kwa kujituma asilimia mia ndio maana pamoja na ubora wake, kocha Amog alikuwa anamweka benchi mechi nyingi tu, alishamstukia uchezaji wake wa kinafiki.
Simba tumefulahi kuondoka kwake ili akacheze kwenye timu anayoipenda.
Sasa tupo na Okwi na Boko, ambao pamoja na umri wao mkubwa watajituma vizuri ktk timu yetu kwani wanamapenzi na timu.
Mchukueni mshabiki (mwanachama) mwenzenu Ajibu.
Na asiote tene kuchezea Simba, hatutamsajiri kamwe kwani pamoja na kumlea vizuri kisoka ameonesha haipendi Simba Sports Club.
Bora tule wali wetu mkavu kuliko pilau ya jirani.
Tunamtakia mafanikio mema huko akupendako.
 
😱🙄🙄
 
Back
Top Bottom