Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Wakati Kaseke anakuja Yanga, mwenzake Pita Mwalyanzi alienda simba! Hebu tuambie yupi aliyepotea katika soka kati ya Kaseke na Mwalyanzi? Kisha utajua ni timu gani inayoua vipaji vya wachezaji!Mwacheni atapoa kama kaseke na kessi walivyopoa. Vyura hawawezi tunza kipaji chako. Ukipoa tu wanakupotezea. Acheni afurahi ila number ikipata mwenyewe atilia kuwekwa bench.
Sent using Jamii Forums mobile app