Simba, mmewekewa mtego kutocheza NBC premier league kuanzia Oktoba hadi November, zindukeni

hii ilishawai kutokea msimu flani.
cha ajabu Fungulia Mbwa f.c ndio walikua wa kwanza kulalamika baada ya kuona Simba wanashinda viporo vyake,wakadai body ya ligi inapanga matokeo.
 
Simba hapumziki anaenda kucheza SUPER LIGI. Mechi ngumu kuliko hizo za ligi.

Hata hili limekushinda kuelewa. Uto bhana sijui ndiyo uzuzu wenyewe!
 
Hebu tuambie huo umakini unaotakiwa.
 
Yaani tutoke kupimana ubavu na kina Al Ahly, Mamelody, Wydad Kisha tuje tufungwe na Coastal Union au Ihefu?
Hii comment ni zaidi ya mbumbumbu wa soka na huna hata ABCD yoyote ya mpira Kwa asilimia 150.

Hujui kuna uchovu,
Hujui kuna ratiba ngumu kufidia mechi,
Kuna wachezaji muhimu kupata majeraha kwasababu ya level ya ushindani.
 
Hii comment ni zaidi ya mbumbumbu wa soka na huna hata ABCD yoyote ya mpira Kwa asilimia 150.

Hujui kuna uchovu,
Hujui kuna ratiba ngumu kufidia mechi,
Kuna wachezaji muhimu kupata majeraha kwasababu ya level ya ushindani.
Wewe ni pumbavu na mbumbumbu Mkuu humu. Hili jukwaa lina kila aina ya watu na sio muda wote tuta comment unavyotaka wewe iwe. Kwa hiyo kukiwa na hizo injuries na uchovu ndio mtego wenyewe? Kwa hiyo ni lazima zitokee injuries au huo unaouita uchovu? Yaani ni lazima tu wataumia watake wasitake?

Ficha ujinga wako.
 
Yanga wana hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…