Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mno aisee.Yanga wana hazina kubwa sana ya wapumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mno aisee.Yanga wana hazina kubwa sana ya wapumbavu
Lazima mjinga aelimishwe maana mjinga akielimishwa anaelewa na ujinga wako dawa ipo unapona bila shidaWewe ni pumbavu na mbumbumbu Mkuu humu. Hili jukwaa lina kila aina ya watu na sio muda wote tuta comment unavyotaka wewe iwe. Kwa hiyo kukiwa na hizo injuries na uchovu ndio mtego wenyewe? Kwa hiyo ni lazima zitokee injuries au huo unaouita uchovu? Yaani ni lazima tu wataumia watake wasitake?
Ficha ujinga wako.
Na wakishinda viporo vyote mtakuja na malalamiko wanapendelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakipigwa game za ndani watakuja na hoja hii
" Uchovu wa wachezaji kuringana na ratiba ngumu"