Mnapenda kulalamika sana, usajili wakati mwingine ni kubahatisha, mchezaji anaweza kuwa mzuri alipotoka lakini akienda sehemu nyingine anaharibu.
Lazima pia mkubali wakati mwingine bei za wachezaji wazuri kuwatoa walipo ni kubwa, msijidanganye kumtaka kila mzuri mumuonae, wanaommiliki sio wajinga waachie kirahisi.
Muache huu utoto wenu wa kulia lia hovyo.