Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Tatzo ni YANGA sio usajili wa Simba. Mkiangalia Yanga ilivyoshona hata confidence mnakosa. Jamaa ni bonge la striker mpeni muda....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya kuwa na uwekezaji Kama huwezi kununua wachezaji wazuriMnapenda kulalamika sana, usajili wakati mwingine ni kubahatisha, mchezaji anaweza kuwa mzuri alipotoka lakini akienda sehemu nyingine anaharibu.
Lazima pia mkubali wakati mwingine bei za wachezaji wazuri kuwatoa walipo ni kubwa, msijidanganye kumtaka kila mzuri mumuonae, wanaommiliki sio wajinga waachie kirahisi.
Muache huu utoto wenu wa kulia lia hovyo.
Leo mtu anasema Bora saidoMukwala hakuna striker pale Ahoua naye anakimbiakimbia tu hovyo uwanjani Mutale ni saido aliyezubaa bora hata saido.Cha msingi Ong bak aondoke na Mo atuachie timu yetu