Simba mnajipiga risasi wenyewe na zitawaua wenyewe, huyo Lionel Atteba mnayetaka kumsajili rekodi zake hivi karibuni mmezifatilia?

Simba mnajipiga risasi wenyewe na zitawaua wenyewe, huyo Lionel Atteba mnayetaka kumsajili rekodi zake hivi karibuni mmezifatilia?

Tatzo ni YANGA sio usajili wa Simba. Mkiangalia Yanga ilivyoshona hata confidence mnakosa. Jamaa ni bonge la striker mpeni muda....
 
Mchezaji kutoshine team A hakumfanyi asi shine team B .,,
Alaf magoma wenu kakata rufaa unajua ilo ?
 
Mnapenda kulalamika sana, usajili wakati mwingine ni kubahatisha, mchezaji anaweza kuwa mzuri alipotoka lakini akienda sehemu nyingine anaharibu.

Lazima pia mkubali wakati mwingine bei za wachezaji wazuri kuwatoa walipo ni kubwa, msijidanganye kumtaka kila mzuri mumuonae, wanaommiliki sio wajinga waachie kirahisi.

Muache huu utoto wenu wa kulia lia hovyo.
Nini maana ya kuwa na uwekezaji Kama huwezi kununua wachezaji wazuri
 
Mukwala hakuna striker pale Ahoua naye anakimbiakimbia tu hovyo uwanjani Mutale ni saido aliyezubaa bora hata saido.Cha msingi Ong bak aondoke na Mo atuachie timu yetu
 
Back
Top Bottom