Simba mnakwenda na bajeti ya bilioni 13 iliyopitishwa na wanachama kwenye mkutano mkuu au mnaenda na bajeti ya bilioni 24 ya kwenye hafla ya ubwabwa?

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga kutangaza bajeti yao ya bilioni 20 wao wazee wa kuongeza sifuri wakaona fursa na wao waongeze bajeti hewa🤔🤔🤔

Hizi bajeti hewa ndio uwa zinawacost kunakuwa akuna uhalisia wa thamani ya pesa husika kwenye shughuli za uendeshaji wa klabu! Unasema bajeti bilioni 24 wakati huo unavizia usajili wa free agent? Unavizia wachezaji wa mkopo? Unashindwa kuwalipa kina sawadogo pesa zao za kuwavunjia mkataba? Unasubilia pesa za super league ndio zikusaidie kufanya usajili? Ni aibu mtu mzima kudanganya kijinga namna hii,

Yaani unataka kujilinganisha na mwenzako wakati umeachwa mbali? Bwana rage alikuwa sahihi sana na msemo wake wa mbumbumbu!
 
Ni Mkutano Mkuu pekee au Mkutano Mkuu maalum Wenye mamlaka ya kupitisha bajeti Kuu Kwa mujibu wa Katiba ya Simba. Ninachoona na ninadhani ndo wanachomaanisha kwamba kikao cha Jana kilikuwa na hadhi ya Mkutano Mkuu maalum. Kama ni hivyo Hakuna tatizo Ila swali litabaki akidi ilitimia?
 
Nilishawaambia mara nyingi hapa kuwa ukiona bodi ya Simba imekaa na picha zikija huku mitandaoni utafikiri wapo "serious" kweli kweli kumbe hamna kitu. Na kama mnabisha subirini watangaze usajili wao wanaosema eti wanaenda kuchukua kombe la Afrika mbele ya vigogo kama Al Ahly, Mamemlodi, n.k. ndio mtajua kuwa hamjui.

Engineer Hersi akimtaka mchezaji (rejea issue ya Aziz Ki) anamfuata mpaka kwao kabisa mchezaji hapindui hapo na anaona kweli jamaa wapo "serious" njoo sasa kwa wazee wa mpaka bodi ikae wao wanavizia kila Adebayor akija na timu ya taifa wanazuga kuzungumza nae halafu utasikia mbamba kuwa mara ajenti wake kamuuza Berkane na safari hii wameshaanza mapema kuwapanga mashabiki wao eti Berkane wamegoma kumtoa. Toeni hela kama mnataka wachezaji wenye viwango kwani hakuna mchezaji asiyeuzwa duniani kama mpaka Ronaldo na Mesi walivyouzwa basi jueni hakuna mchezaji amabaye hana bei.

Timu in 5.8 bilioni za super league halafu inavizia wachezaji wa milioni 200, wa mikopo na waliomaliza muda wao. Hii aibu kubwa na mashabiki wa Simba wajiandae kwa mwaka mwingine wa maumivu hasa ukizingatia Azam nao safari hii wameamua kufunga "turbo" basi shida itakuwa mara mbili ya zaidi ya msimu uliopita.

Kwa hiyo bajeti ya bilioni 24 huo ni uongo wa mchana.

Ni mtizamo tu.
 
Nilishawaambia mara nyingi hapa kuwa ukiona bodi ya Simba imekaa na picha zikija huku mitandaoni utafikiri wapo "serious" kweli kweli kumbe hamna kitu. Na kama mnabisha subirini watangaze usajili wao wanaosema eti wanaenda kuchukua kombe la Afrika mbele ya vigogo kama Al Halaly, Mamemlodi, n.k. ndio mtajua kuwa hamjui.

Engineer Hersi akimtaka mchezaji (rejea issue ya Aziz Ki) anamfuata mpaka kwao kabisa mchezaji hapindui hapo na anaona kweli jamaa wapo "serious" njoo sasa kwa wazee wa mpaka bodi ikae wao wanavizia kila Adebayor akija na timu ya taifa wanazuga kuzungumza nae halafu utasikia mbamba kuwa mara ajenti wake kamuuza Berkane na safari hii wameshaanza mapema kuwapanga mashabiki wao eti Berkane wamegoma kumtoa. Toeni hela kama mnataka wachezaji wenye viwango kwani hakuna mchezaji asiyeuzwa duniani kama mpaka Ronaldo na Mesi walivyouzwa basi jueni hakuna mchezaji amabaye hana bei.

Timu in 5.8 bilioni za super league halafu inavizia wachezaji wamilioni 200,000, wa mikopo na waliomaliza muda wao. Hii aibu kubwa na mashabiki wa Simba wajiandae kwa mwaka mwingine wa maumivu hasa ukizingatia Azam nao safari hii wameamua kufunga "turbo" basi shida itakuwa mara mbili ya zaidi ya msimu uliopita.

Kwa hiyo bajeti ya bilioni 24 huo ni uongo wa mchana.

Ni mtizamo tu.
Kwamba simba hawakopesheki au?
 
Ni Mkutano Mkuu pekee au Mkutano Mkuu maalum Wenye mamlaka ya kupitisha bajeti Kuu Kwa mujibu wa Katiba ya Simba. Ninachoona na ninadhani ndo wanachomaanisha kwamba kikao cha Jana kilikuwa na hadhi ya Mkutano Mkuu maalum. Kama ni hivyo Hakuna tatizo Ila swali litabaki akidi ilitimia?
Mkutano mkuu maalum ndio mkutano gani huo?
 
Screenshot_20230623-214041_(1).png
 
Timu in 5.8 bilioni za super league halafu inavizia wachezaji wa milioni 200, wa mikopo na waliomaliza muda wao.
Hivi hii concept ya kwamba wachezaji wa mkopo na waliomaliza muda wao sio wazuri, mbona imewakaa sana wabongo kichwani? Je, Baleke alivyottolewa na TP Mazembe kwa mkopo kuja Simba, tuseme kwamba Baleke hana hadhi ya kucheza michuano migumu kabisa Afrika? Je, Mayele akimaliza muda wake Yanga akhalafu akachukuliwa na Kaizer Chief bure, ndio kusema kwamba Mayele hafai kucheza michuano migumu kabisa Afrika? Tuache kauli za kishamba, kununua mchezaji, kumpata kwa mkopo au kumpata aliyemaliza muda wake, yeyote kati ya hao anaweza akawa bora kabisa katika kiwango, tusikariri
 
Wachezaji wa mikopo wamewafikisha wapi sasa? Mchezaji wa bure kufanya vizuri uwa ni bahati nasibu kwenye 100 utampata mmoja au wawili, kama pesa ipo kwanini usivunje mikataba na kununua, tunachokisema hapa ni uhalisia wa izo pesa thamani yake na kinachosemwa na viongozi wenu ni mbingu na ardhi!
 
Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga kutangaza bajeti yao ya bilioni 20 wao wazee wa kuongeza sifuri wakaona fursa na wao waongeze bajeti hewa🤔🤔🤔

Hizi bajeti hewa ndio uwa zinawacost kunakuwa akuna uhalisia wa thamani ya pesa husika kwenye shughuli za uendeshaji wa klabu! Unasema bajeti bilioni 24 wakati huo unavizia usajili wa free agent? Unavizia wachezaji wa mkopo? Unashindwa kuwalipa kina sawadogo pesa zao za kuwavunjia mkataba? Unasubilia pesa za super league ndio zikusaidie kufanya usajili? Ni aibu mtu mzima kudanganya kijinga namna hii,

Yaani unataka kujilinganisha na mwenzako wakati umeachwa mbali? Bwana rage alikuwa sahihi sana na msemo wake wa mbumbumbu!
Dola mil2.5 ya super league inatoka mwezi wa 9 sasa simba haitasajili hadi mwezi wa 9?
 
Bajeti 24bn na Mwamedi kanunua kwa fedha hewa 20bn. Teh teh teh....
 
Dola mil2.5 ya super league inatoka mwezi wa 9 sasa simba haitasajili hadi mwezi wa 9?
Ndiyo maana usajili wenu ni wa kusua sua pesa akuna, mnataka wachezaji wengi wa mkopo na wale ambao ni free agent au wa bei ndogo kama yule mliyemtoa Rwanda, viongozi wenu walijua michuano ya super league itaanza mwezi wa 8, hivyo walitegemea fungu litatoka mwezi wa 7 ili liwaokoe sasa mambo yamekuwa kinyume wataendelea kuokoteza iyo migarasa msije kushangaa kina sawadogo wanakuwa wengi zaidi msimu ujao!
 
Mkuu adui muombee njaa, sasa shida yako nini?
 
Back
Top Bottom