Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga kutangaza bajeti yao ya bilioni 20 wao wazee wa kuongeza sifuri wakaona fursa na wao waongeze bajeti hewa🤔🤔🤔
Hizi bajeti hewa ndio uwa zinawacost kunakuwa akuna uhalisia wa thamani ya pesa husika kwenye shughuli za uendeshaji wa klabu! Unasema bajeti bilioni 24 wakati huo unavizia usajili wa free agent? Unavizia wachezaji wa mkopo? Unashindwa kuwalipa kina sawadogo pesa zao za kuwavunjia mkataba? Unasubilia pesa za super league ndio zikusaidie kufanya usajili? Ni aibu mtu mzima kudanganya kijinga namna hii,
Yaani unataka kujilinganisha na mwenzako wakati umeachwa mbali? Bwana rage alikuwa sahihi sana na msemo wake wa mbumbumbu!