Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Kabisa mtaniKikubwa tuombe uzima Sapta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mtaniKikubwa tuombe uzima Sapta.
Insha Allah. Hapo ndio mbivu na mbichi zitajulikanaKabisa mtani
Tulia wewe na uache kujifariji.Nkana watasonga mbele tu,kiulainiiii
😂😂😂😂Nkana watasonga mbele tu,kiulainiiii
Hivi upo aiseee! Naona mmeshinda jana leo umeonekana. 😂😂Tulia wewe na uache kujifariji.
Endelea kujiandaa kisaikologiaTulia wewe na uache kujifariji.
Yanga ndio wakujiandaa kisaikolojia na sio simba.......pia sio kisaikologia bali ni kisaikolojia.Endelea kujiandaa kisaikologia
Soma injinia hiyoooo! Ngapi huko!Nkana wanataka kudhihilisha Simba imesajiri wafua nazi
Wana Yanga wenzangu Jezi za Nkana zinapatikana Kariakoo tununue ili tuipe sapoti Nkana FC , mana hawa simba watajitapa sana wakishinda kua wao ndo timu inayofanya vzr kimataifa, kwamba sisi Yanga tunasindikiza tu kimataifa.
Nyie Mashoga ndio mnasababisha Tanzania inakosa misaada na mikopo maana mnaongea sana . Haya nenda kwa mashoga wenzio wa Nkana mkagawane vitatu hivyo