Simba mnalala kwa Nkana. Tunawapeleka kwa Babu yetu toka Congo hamtoki

Simba mnalala kwa Nkana. Tunawapeleka kwa Babu yetu toka Congo hamtoki

Mbona una weweseka Sana ndugu

Ukikutana na simba unakufa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
mambo ya ajabu sana niliona kati ya mechi ya nkana na simba baada ya wachezaji wa simba kumparamia daktari hii ni kali ya mwaka inaonesha jinsi gani simba alibanwa bila hata kutikisa unywele...!
kila la kheri nkana
 
FB_IMG_1545584087287.jpg
 
Wana Yanga wenzangu Jezi za Nkana zinapatikana Kariakoo tununue ili tuipe sapoti Nkana FC , mana hawa simba watajitapa sana wakishinda kua wao ndo timu inayofanya vzr kimataifa, kwamba sisi Yanga tunasindikiza tu kimataifa.

Huu ujanja ndio umewabeba simba yanga wamejukuta wanavaa jesu nyekundu na nyeupe simba wakajiona wako nyumbani
 
Nyie Mashoga ndio mnasababisha Tanzania inakosa misaada na mikopo maana mnaongea sana . Haya nenda kwa mashoga wenzio wa Nkana mkagawane vitatu hivyo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mtani ina maana hukulelewa na wazazi kabisa? Hata walezi pia hukufanikiwa kupata mpaka ukulie mtaani na kujifunza matusi tu? Pole ndo malimwengu.

Mpira ni furaha na amani. Ni upendo simba na yanga ni watani wa jadi. Nyie ambao mlikosa malezi mema nashangaa pia mpo simba na yanga

Nyie Mashoga ndio mnasababisha Tanzania inakosa misaada na mikopo maana mnaongea sana . Haya nenda kwa mashoga wenzio wa Nkana mkagawane vitatu hivyo
 
Back
Top Bottom