Simba mnatia aibu

Simba mnatia aibu

madindigwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
2,488
Reaction score
2,904
Wekundu wa msimbazi wakiwa kwa mama ntilie hiyo ni baada ya kucheza meach yao ya ndondo na Mirambo ya Tabora.

Jamani njaa hizi mbaya mwisho wa siku wakiwa full mziki chini ya kiungo wao maridadi mwenye mbwembwe za kunyambulika nyambulika na kuishia kutolewa nishai na team hiyo ya vijana watupu wa daraja la pili drow ya tasa.

Wakiongea kwa kulalamika wapenzi hao wa simba ya mwendo kasi kwa jazba na povu jingi kwamba team yao imewaangusha.

Kijana mmoja anasema nimetumia gharama zangu kuja kuangalia team yangu lakini nilichokishuhudia sio simba ninayo ijua mimi mwisho wa kunukuu.

Natoa angalizo jamani simba acheni njaa za ndondo mwisho ni kuaibika
 
wamatopeni wenye nguo za kijani waliiba miwa kilombero unajisahaulisha eeh?
 
eti usajili wao uli - gharimu 1.5bilions ....... Mungu anaowaona, mwenye timu kapigwaa hapo!
 
Lowasa alipoenda Mbagala kwa dala dala aliitwa Mzalendo, Simba wanakula kwa mama Ntilie kuunga mkono wajasiliamali wanaitwa wamefulia...

Enewei, tukutane uwanjani na habari hii bila picha ni umazwazwa!!
 
Lowasa alipoenda Mbagala kwa dala dala aliitwa Mzalendo, Simba wanakula kwa mama Ntilie kuunga mkono wajasiliamali wanaitwa wamefulia...

Enewei, tukutane uwanjani na habari hii bila picha ni umazwazwa!!
Mkuu, acha kabisa kumfananisha Lowassa na mambo ya kijinga
 
a57acb8dbfa93bbb53cc552d942218de.jpg

866fd9964105898a073bb369fa0e0d54.jpg

Hao ni everton, club kubwa kabisa dunian lakini hawana shobo, wanakula kwa mama ntilie vitumbua...
 
Back
Top Bottom