madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Wekundu wa msimbazi wakiwa kwa mama ntilie hiyo ni baada ya kucheza meach yao ya ndondo na Mirambo ya Tabora.
Jamani njaa hizi mbaya mwisho wa siku wakiwa full mziki chini ya kiungo wao maridadi mwenye mbwembwe za kunyambulika nyambulika na kuishia kutolewa nishai na team hiyo ya vijana watupu wa daraja la pili drow ya tasa.
Wakiongea kwa kulalamika wapenzi hao wa simba ya mwendo kasi kwa jazba na povu jingi kwamba team yao imewaangusha.
Kijana mmoja anasema nimetumia gharama zangu kuja kuangalia team yangu lakini nilichokishuhudia sio simba ninayo ijua mimi mwisho wa kunukuu.
Natoa angalizo jamani simba acheni njaa za ndondo mwisho ni kuaibika