Simba mnatupa pressure mambo gani gani ya ki delicious hayo?

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Nilianza kuguna siku ya mtibwa ila nikajipa moyo bado mitambo haijakaa fresh itachanganyia tu ila kwa nilichokiona leo kwenye mechi ya mlandege ni aibu aisee.
Acheni kucheza kama james delicious nyie jamaa,usajili mzuri majina makubwa ,kikosi kipana,output zero
Huyu kocha omog toka akiwa azam philosophy yake ni kama maximo kujilinda tu na kushinda 1-0 kila mechi,hi sio poa,kama foward imeshindwa kazi basi piga formation ya 3-5-2 jaza viungo wengi kina muzamiri wakafunge tu magoli maana hamna namna tena
nakumbuka kuna mechi kama tatu tulishawahi kukutana na yanga wakiwa wanajiamini tukawaduwaza,kuna ile simba mbovu ya kina mwombeki tulitoka nao sare ya 3-3 ila safari hii nahisi ni zamu yetu kuduwazwa na yanga maana tumewadharau sana wakati in reality sioni foward ya simba inafanya nini hadi sasa hivi
kuna kipindi hii team ilipokuwa chini ya mayanja ilikuwa inapiga hadi goal tano leo mauuzauza tu.
 
4714169cca9836c577cf5e8cd1d2175a.jpg
omog mnamuonea,ttz ni hawa wahenga mliomsajilia wamebaki majina tu
 
Nilianza kuguna siku ya mtibwa ila nikajipa moyo bado mitambo haijakaa fresh itachanganyia tu ila kwa nilichokiona leo kwenye mechi ya mlandege ni aibu aisee.
Acheni kucheza kama james delicious nyie jamaa,usajili mzuri majina makubwa ,kikosi kipana,output zero
Huyu kocha omog toka akiwa azam philosophy yake ni kama maximo kujilinda tu na kushinda 1-0 kila mechi,hi sio poa,kama foward imeshindwa kazi basi piga formation ya 3-5-2 jaza viungo wengi kina muzamiri wakafunge tu magoli maana hamna namna tena
nakumbuka kuna mechi kama tatu tulishawahi kukutana na yanga wakiwa wanajiamini tukawaduwaza,kuna ile simba mbovu ya kina mwombeki tulitoka nao sare ya 3-3 ila safari hii nahisi ni zamu yetu kuduwazwa na yanga maana tumewadharau sana wakati in reality sioni foward ya simba inafanya nini hadi sasa hivi
kuna kipindi hii team ilipokuwa chini ya mayanja ilikuwa inapiga hadi goal tano leo mauuzauza tu.
Simba kwani ni timu ya mpira? ile ni klabu ya wazee tu
 
Yepoyepo katika ubora wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio Omog, tatizo Manara na tambo za kuwafurahisha mashabiki...
Sioni usajili unaopongezwa Simba.. Wahenga wasio na msaada wowote na majina ya zamani....... Wanapochelewa Simba ni kumuwazia Yanga siku zote na akili yao imegota hapo, ndio maana wanawaza kuifunga Yanga, na Yanga wanawaza kuchukua ubingwa.. Hiyo ndio tofauti kubwa.... Na mwaka huu Yanga ni bingwa mara 4 mfululizo... Subir utaona!

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Kama kuna shabiki wa soka anaewadharau mabingwa mara 3 mfululizo wa VPL wenye Tambwe Ngoma na Ajib pale mbele basi akapimwe akili.
 
Tukianaza kutaja wazee mbona utakimbia hakuna timu lenye wazee kama yanga!!kama ukibisha sema tuorodheshe!
Hahahaaaaa.
John Bocco
Haruna Niyonzima
Emmanuel Okwi
Aishi Manura
......
 
Mpira uwanjani...tushauri badala ya kulalama tu.

The Great Gatsby
 
Tukianaza kutaja wazee mbona utakimbia hakuna timu lenye wazee kama yanga!!kama ukibisha sema tuorodheshe!
1. Tambwe
2. Kamusoko
3. Yondani
4. Nadir
5. Ngoma
6. Yule jamaa wa rwanda na origin ya kongo
 
Kama kuna shabiki wa soka anaewadharau mabingwa mara 3 mfululizo wa VPL wenye Tambwe Ngoma na Ajib pale mbele basi akapimwe akili.
Kumpima akili mtu wa namna hiyo ni kupoteza muda, huyo ni moja kwa moja wodini.

Utamdoubt vipi bingwa mara 27 (zaidi ya Man U) halafu tukuache uraiani utuvunjie vioo vya magari yetu?
 
Tukianaza kutaja wazee mbona utakimbia hakuna timu lenye wazee kama yanga!!kama ukibisha sema tuorodheshe!
Inawezekana uko sahihi lakini ipo tofauti: wazee walioko Yanga walisajiliwa wakiwa vijana sasa wamezeekea ndani ya Yanga na bado wana mchango mkubwa kwa mafanikio ya timu. Kwa wale walioko Simba wamesajiliwa wakiwa wazee wanaelekea kufia humo humo Simba huku wakiwa hawana mchango wowote katika mafanikio ya timu zaidi ya kujizolea pensheni kubwa kila mwezi. WENYE MAPOVU KARIBU SANA, JAPO UKWELI NI MCHUNGU!!!

Tarehe 23 ni tarehe yenye namba aliyokuwa anaivaa Ajibu akiwa Simba, sina shaka namba hiyo mikia fc wataikumbuka sana baada ya Agosti 23, 2017.

Go go go Young Africans SC International.
 
Nilianza kuguna siku ya mtibwa ila nikajipa moyo bado mitambo haijakaa fresh itachanganyia tu ila kwa nilichokiona leo kwenye mechi ya mlandege ni aibu aisee.
Acheni kucheza kama james delicious nyie jamaa,usajili mzuri majina makubwa ,kikosi kipana,output zero
Huyu kocha omog toka akiwa azam philosophy yake ni kama maximo kujilinda tu na kushinda 1-0 kila mechi,hi sio poa,kama foward imeshindwa kazi basi piga formation ya 3-5-2 jaza viungo wengi kina muzamiri wakafunge tu magoli maana hamna namna tena
nakumbuka kuna mechi kama tatu tulishawahi kukutana na yanga wakiwa wanajiamini tukawaduwaza,kuna ile simba mbovu ya kina mwombeki tulitoka nao sare ya 3-3 ila safari hii nahisi ni zamu yetu kuduwazwa na yanga maana tumewadharau sana wakati in reality sioni foward ya simba inafanya nini hadi sasa hivi
kuna kipindi hii team ilipokuwa chini ya mayanja ilikuwa inapiga hadi goal tano leo mauuzauza tu.
Timu Inakera hii Duuh
 
Back
Top Bottom