ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Nilianza kuguna siku ya mtibwa ila nikajipa moyo bado mitambo haijakaa fresh itachanganyia tu ila kwa nilichokiona leo kwenye mechi ya mlandege ni aibu aisee.
Acheni kucheza kama james delicious nyie jamaa,usajili mzuri majina makubwa ,kikosi kipana,output zero
Huyu kocha omog toka akiwa azam philosophy yake ni kama maximo kujilinda tu na kushinda 1-0 kila mechi,hi sio poa,kama foward imeshindwa kazi basi piga formation ya 3-5-2 jaza viungo wengi kina muzamiri wakafunge tu magoli maana hamna namna tena
nakumbuka kuna mechi kama tatu tulishawahi kukutana na yanga wakiwa wanajiamini tukawaduwaza,kuna ile simba mbovu ya kina mwombeki tulitoka nao sare ya 3-3 ila safari hii nahisi ni zamu yetu kuduwazwa na yanga maana tumewadharau sana wakati in reality sioni foward ya simba inafanya nini hadi sasa hivi
kuna kipindi hii team ilipokuwa chini ya mayanja ilikuwa inapiga hadi goal tano leo mauuzauza tu.