Simba kikosi kipo.Mnacheza mpira mtamu sana , ila haya majamaa yamekuja na game yao ya mpira matokeo, msipo kuwa makini na hii tunaenda kusema chenga tumewala lakini π π
Viva simba hakika mnatoa burudani ya wapenda mpira mzuri, sex and romantic kwa wakati mmoja.
Simba nguvu mojaπ»πͺ
Agree agree. Tuendelee kuboresha kikosi, asajiliwe mshambuliaji wa kati, mambo si mabaya.Boli linatembea mpaka unasema waoooh π
Hata sisi memba wa chaputa tunaweza kujimaliza na sex football ya simba?Mnacheza mpira mtamu sana , ila haya majamaa yamekuja na game yao ya mpira matokeo, msipo kuwa makini na hii tunaenda kusema chenga tumewala lakini π π
Viva simba hakika mnatoa burudani ya wapenda mpira mzuri, sex and romantic kwa wakati mmoja.
Simba nguvu mojaπ»πͺ
Naunga mkono hoja mzee.Football is all about winning games, history always remembers who won the match, not sexy and romantic show!!
MustπSimba needs to break the deadlock...
Ni sawa na kwenda kwa demu ukajikunje kupeleka moto lakini usimfikishe kileleni. Ni kazi bure!Football is all about winning games, history always remembers who won the match, not sexy and romantic show!!