Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Naunga mkono hoja yako bwashee, bila yule kipa Jana wangepelekewa moto zaidi, yule mangoba sidhani kama anamaliza mwezi huuLile pira ilitakiwa wafe 5 sema wana kipa mzuri😅
Naunga mkono hoja yako bwashee, bila yule kipa Jana wangepelekewa moto zaidi, yule mangoba sidhani kama anamaliza mwezi huuLile pira ilitakiwa wafe 5 sema wana kipa mzuri😅
Wale hawajali, watamshushia zigo la lawamaMaboga mabichi hana shida tatizo ni simba imekua tamu tu😅
Tunabonda tu
Kufika kileleni ni juu yake 😃Ni sawa na kwenda kwa demu ukajikunje kupeleka moto lakini usimfikishe kileleni. Ni kazi bure!