Ngoja nikupe live location
Yanga hawana timu ya kushindana na simba.Alaumiwe doumbia
Kuna utamu simba tunaukosa , mwalimu alitazame hilo
nilisema hiiTumekosa target man...natural striker 9..goal poacher
dk 45-60 tukipata goal basi tunashinda hii match
Kala jeremiah
Yanga wabovu sana mkuu be patientHakika simba wanacheza wana kikosi kizuri kuzidi cha timu ninayoishabikia