Tunabonda tuπSIMBA atabaki kuwa SIMBA... Katambuga lina majina mengi
View attachment 3688300
ππππKwa mpira mnaocheza ulishapitwa na wakati dunia ya sasa kwa staili hii mtakuwa mnapoteza kila siku mkicheza na yanga
π π πππππ
View attachment 3688303
Mkuu hongera Kwa ushindi, ila naomba unijibu boss umenisahau kabisaHahahaha sex & romantic football π€£
Jana Simba wamenifurahisha sana bwashee, ushindi pamoja na pira la kueleweka, total football ya maana kabisaNguvu mojaπͺπͺπͺ
Ni mbayaaaaa n mbayaaa dah hongera sana bwashee wanguBwashee za mdaπ π π π π
Imepandaaa π₯²π₯²Pressure increase or decrease?
Huyu mzee huwa ni nani huko mjini?Wameikuta igunga huko
View attachment 3688132