Simba mpelekeeni zawadi mganga wenu kawafanyia kazi nzuri kupunguza idadi ya magoli vinginevyo ilikuwa 3-0!

Majok majok

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2023
Posts
783
Reaction score
2,057
Yanga katengeneza nafasi nyingi za magoli karibu 3 clear kabisa, Prince dube na Azizi ki walikuwa wanamaliza mchezo mapema but Sangoma wao kafanya yake!

Simba wanayo safari ndefu sana kupata muunganiko na fitness yao bado sana ukilinganisha na yanga!

Yule mutale nilishasema ni digidigi asiyekuwa na madhara, anacheza mpira wa anao anao na final touch yake ni zero!🚮🚮 Hana tofauti na kisinda!

Yote kwa yote ilikuwa ni mechi kati ya wanaume dhidi ya wavulana, wanaume walikuwa wanajua wanataka Nini na kwa muda Gani, walikuwa wanacheza mpira wa malengo zaidi wakionyesha ukomavu wa kucheza mechi kubwa zenye hadhi ya champions league, walikuwa wanawaacha wavulana wakimbie kimbie tu bila malengo Kisha wanapokonywa ngoma inarudi kwao!

Safu ya ulinzi ya yanga ni imara sana kuipita kiboya boya uwezi!
Simba imeshindwa ata kutengeneza nafasi ya kufunga goli ndiyo iyo inaenda mechi za kimataifa wajipange sana wakishupaza shingo na kutegemea waganga wa kienyeji watapasuka mapema!
 
Mashabiki wa Yanga tunamfuata mke wa mwijaku au anakujaa mwenyeweeeeee kwa Ally Kamwe?
 
Mdomo mdomo mtoto wa kiumee,mdomo mwee🤨
 
Sasa hv alikamwe anainua stuli kwa kutumia kojoleo kama zoezi la kumkabili mke wa mwijaku
 
Yanga mlipata nafasi nzuri ya kufanya sherehe yenu baada ya sherehe ya Simba.
Hapo ndio mlipotumoa nafasi hiyo kuuchezea uwanja.

Pia mmepata faida ya Simba kuwa mpya inayotafuta muunganiko kupata goli moja,Mimi ujao utakua mgumu sana kwenu,kaeni kwa kutulia..

Simba Ina wachezaji wapya,kocha mpya na mipango mipya,siku ikikaa vizuri mtajuta nasema.

Manara,mkude,Baleke na chama waliondoka Simba na Siri nyingi mno,kujenga Mifumo mipya sio kazi ndogo.

Ila wakisha kaa vizuri yanga mtapata taabu sana.
 
Huu msimu hamtufungi.... Narudia Gamondi alikuwa hawajui vizuri na anawajua kadri mnavyocheza , shida Simba mnaona wakati mnapiga hatua na Yanga wamelala , Simba ili kuifikia Yanga na kuifunga wachezaji wenu wanahitajika kuwa Exponential na kwa mechi ya leo naona wametumia asilimia 85 ya uwezo wao wote ... Ngoja wakachoshwe na Ndumba za Mikoani uone.
 
Yanga katengeneza nafasi nyingi za magoli karibu 3 clear kabisa, Prince dube na Azizi ki walikuwa wanamaliza mchezo mapema but Sangoma wao kafanya yake!
Simba wanayo safari ndefu sana kupata muunganiko na fitness yao bado sana ukilinganisha na yanga!
Yule mutale nilishasema ni digidigi asiyekuwa na madhara, anacheza mpira wa anao anao na final touch yake ni zero!🚮🚮 Hana tofauti na kisinda!
Yote kwa yote ilikuwa ni mechi kati ya wanaume dhidi ya wavulana, wanaume walikuwa wanajua wanataka Nini na kwa muda Gani, walikuwa wanacheza mpira wa malengo zaidi wakionyesha ukomavu wa kucheza mechi kubwa zenye hadhi ya champions league, walikuwa wanawaacha wavulana wakimbie kimbie tu bila malengo Kisha wanapokonywa ngoma inarudi kwao!
Safu ya ulinzi ya yanga ni imara sana kuipita kiboya boya uwezi!
Simba imeshindwa ata kutengeneza nafasi ya kufunga goli ndiyo iyo inaenda mechi za kimataifa wajipange sana wakishupaza shingo na kutegemea waganga wa kienyeji watapasuka mapema!
Kama mganga wao aliwaaminisha kuwa leo atapunguza idadi ya magoli basi kapiga kawapiga mpunga mrefu
 
Yanga mlipata nafasi nzuri ya kufanya sherehe yenu baada ya sherehe ya Simba.
Hapo ndio mlipotumoa nafasi hiyo kuuchezea uwanja.

Pia mmepata faida ya Simba kuwa mpya inayotafuta muunganiko kupata goli moja,Mimi ujao utakua mgumu sana kwenu,kaeni kwa kutulia..

Simba Ina wachezaji wapya,kocha mpya na mipango mipya,siku ikikaa vizuri mtajuta nasema.

Manara,mkude,Baleke na chama waliondoka Simba na Siri nyingi mno,kujenga Mifumo mipya sio kazi ndogo.

Ila wakisha kaa vizuri yanga mtapata taabu sana.
Hoja za kitoto hizo hazina mashiko, unaposema timu mpya na kocha mpya je Ile timu yenu ya zamani ilipigwa mara ngapi? Kama timu yenu mpya basi msingeileta uwanjani mngeleta timu yenu ya zamani pia tukaona ayo matokeo Kama mngeyapata!
Aya maneno ya mkosaji muwe mnawaeleza wasiojua mpira mnadanganyana uko!
 
Huu msimu hamtufungi.... Narudia Gamondi alikuwa hawajui vizuri na anawajua kadri mnavyocheza , shida Simba mnaona wakati mnapiga hatua na Yanga wamelala , Simba ili kuifikia Yanga na kuifunga wachezaji wenu wanahitajika kuwa Exponential na kwa mechi ya leo naona wametumia asilimia 85 ya uwezo wao wote ... Ngoja wakachoshwe na Ndumba za Mikoani uone.
Sio kwamba asilimia 85 ni mia kabisa..
Pale kila mchezaji ametoa asilimia mia moja ya uwezo wake wala hakuna kusema kwamba et kuna uwezo zaidi ya huo baadae utaonekana..
 
Back
Top Bottom