Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Yanga katengeneza nafasi nyingi za magoli karibu 3 clear kabisa, Prince dube na Azizi ki walikuwa wanamaliza mchezo mapema but Sangoma wao kafanya yake!
Simba wanayo safari ndefu sana kupata muunganiko na fitness yao bado sana ukilinganisha na yanga!
Yule mutale nilishasema ni digidigi asiyekuwa na madhara, anacheza mpira wa anao anao na final touch yake ni zero!🚮🚮 Hana tofauti na kisinda!
Yote kwa yote ilikuwa ni mechi kati ya wanaume dhidi ya wavulana, wanaume walikuwa wanajua wanataka Nini na kwa muda Gani, walikuwa wanacheza mpira wa malengo zaidi wakionyesha ukomavu wa kucheza mechi kubwa zenye hadhi ya champions league, walikuwa wanawaacha wavulana wakimbie kimbie tu bila malengo Kisha wanapokonywa ngoma inarudi kwao!
Safu ya ulinzi ya yanga ni imara sana kuipita kiboya boya uwezi!
Simba imeshindwa ata kutengeneza nafasi ya kufunga goli ndiyo iyo inaenda mechi za kimataifa wajipange sana wakishupaza shingo na kutegemea waganga wa kienyeji watapasuka mapema!